Heee please tell me hao watoto wamezaliwa kwa operation!!
Nimeshapitia process najua..uzito wa mtoto wa kawaida ni average 3500grams..na huo uzito unaweza kuwa inbetween 2500gram(minimum weight) and 4500grams(maximum weight)!Huyo 4500grams anazaliwa njia ya kawaida lakini shughuli si ndogo!ok, next time tukijaliwa ntaenda nae.
but am curious kidogo, uzito wa mtoto kupita inatakiwa ana na kg ngap? Wewe umeshapitia process au waongelea tu mambo ya kuskia...ile kitu ni elastic so sion uharibifu unaouongelea manake afta kudeliver geti linarud kama kawa.
unajua mtoto akiwa mzito inakuwa ngumu zaidi kwake kujisogeza kwasababu mtoto anasogea mwenyewe na mama anatakiwa afanye jitihada za kumsukuma akipata contractions...kwahio mzito=mvivu maana yake mama anahenyeka zaidi!!!Ndio maana uzito ukizidi inabidi mzazi afanyiwe operation tu for the saftey of the child and the mother!Umeona eeeh watazaliwaje naturally na walivu wanene acha tu
unajua mtoto akiwa mzito inakuwa ngumu zaidi kwake kujisogeza kwasababu mtoto anasogea mwenyewe na mama anatakiwa afanye jitihada za kumsukuma akipata contractions...kwahio mzito=mvivu maana yake mama anahenyeka zaidi!!!Ndio maana uzito ukizidi inabidi mzazi afanyiwe operation tu for the saftey of the child and the mother!
Nimeshapitia process najua..uzito wa mtoto wa kawaida ni average 3500grams..na huo uzito unaweza kuwa inbetween 2500gram(minimum weight) and 4500grams(maximum weight)!Huyo 4500grams anazaliwa njia ya kawaida lakini shughuli si ndogo!
CC watu8
Wa Ujerumani alizaliwa kawaida kabisa hata CNN walitangaza. U should know haya mambo hutokea ndio maana yanakuwa maajabu
Dah huyu mama kiboko...alijifungua kwa njia ya uke ati...alikwepa kisu!!
Lakini nahisi njia yake ilitanuliwa sana kwa kisu ili huyo kibonge apite...
Shost hebu pata picha maumivu ya kumpitisha huyo mtoto.....
Yeuuuwiiiii..... Hadi utumbo umecheza asieeee!!!!! Elizabeth Dominick
Daddito... Asikwambie mtu maumivu ya kuongezwa njia kwa kisu!!! Unaweza kuzimia kwa maumivu aisee.......
hivi mtoto kama uyo anapitaje?
Wengi wa uzito kama wake huzaliwa kwa operesheni ya upasuaji...ila huyu alipita kwenye uke kwa njia ya kawaida
alipitaje pitaje. sipati picha
Bora hata aongezwe njia kwa kisu kuliko mtoto ajisukume achanike tu maana ndo unavurugika kabisa!Dah huyu mama kiboko...alijifungua kwa njia ya uke ati...alikwepa kisu!!
Lakini nahisi njia yake ilitanuliwa sana kwa kisu ili huyo kibonge apite...
Ha ha ha ganzi ya nini tena baada ya yale maumivu sehemu inakuwa numb!!!Halafu pasipo na ganzi...poleni lakini ndio ukubwa!!
Bora hata aongezwe njia kwa kisu kuliko mtoto ajisukume achanike tu maana ndo unavurugika kabisa!
Basi tu Tanzania hatuna records,ila just two months ago kuna dada alijifungua mtoto wa kilo 7.1 OR 2..akamwita solomon.
saw it kwenye group fb.