JustDoItNow
JF-Expert Member
- Dec 3, 2013
- 2,967
- 1,513
Ok mkuu. Kumbe labda tunatofautiana ki uelewa. Mimi sioni kama kuna tatizo after war nchi ikiwa iko upande mwingine. Of cause russia haikuzikomboa kutoka kwa marekani. Ilizisaidia kutoka mikononi mwa hitler. Pia naona kama siyo looser kwa sababu wameadvance sana kijeshi na kiuchumi. Uchumi wao uko stable pamoja na kelele za kila siku za marekani na EU, lakini wako vizuri. Hawamdhurumu mtu kama NATO na baba yao america anavyowadhurumu waarabu, libya etc. Hawaingilii utawala wowote mpaka labda waombe. pia EU wote hawawezi kabisa kuingia naye kwenye vita. Sasa u looser wake huko wapi?Nakubaliana na ww kabisa but angalia baada ya russia kuzikomboa nchi zote zile toka mikonon mwa wajeruman kwe ww2 leo hii ni nchi hzo karibu zote zipo under USA influence......USA amepigana vita zake nying lakin after war nchi hzo zilibadili upepo na kuwa under influence yake....japan ipo chini ya ushawish wa USA japokuwa ilikuwa nuked na US....so km ushind wa vita tu russia ameshnda sana but russia huwa looser mara nying baada ya vita kuisha....
Mkuu nitapata wapi hizo vitu?WW3...??? Nimenunua smart tv na 3D glasses ili niione vizur kwenye HD...[emoji16][emoji16]
Mwanetu mie huo mzigo nimechuku kwa mshkaji tu cjanunua dukani..Mkuu nitapata wapi hizo vitu?
US ni ******
Puttin ndiye Super power wa dunia mtake msitake huu ndio ukweli.
Putin mwenyewe mbona kakiri hivi majuzi kuwa, US ndie Super power wa dunia; au hukumsikia!.
ni kweli mkuu tunatofautiana kuelewa.....ungejiuliza lengo la putin kumsupport assad ni lipi hasa ungeelewa kuwa world powers always fight to win influenc mkuu....kama ASSAD akiondolewa madarakan hata base za kijesh za urusi zote hazitaexist tena pale syria na hio itapunguza kwa kiac ushawish wa putin middle east....labda kama unahisi russia anawaenda sana raia wa syria ndo maana amenda kuinterven kwe ule mgogoro utakua wanakosea kdg,safari hii russia haitak kurudia makosa ya zaman ndio maana imekomaa kuanzia ukraine mpk syria kuhakikisha global infuenc yake hauteterek sana....mtazamo wangu tu lakin mkuuOk mkuu. Kumbe labda tunatofautiana ki uelewa. Mimi sioni kama kuna tatizo after war nchi ikiwa iko upande mwingine. Of cause russia haikuzikomboa kutoka kwa marekani. Ilizisaidia kutoka mikononi mwa hitler. Pia naona kama siyo looser kwa sababu wameadvance sana kijeshi na kiuchumi. Uchumi wao uko stable pamoja na kelele za kila siku za marekani na EU, lakini wako vizuri. Hawamdhurumu mtu kama NATO na baba yao america anavyowadhurumu waarabu, libya etc. Hawaingilii utawala wowote mpaka labda waombe. pia EU wote hawawezi kabisa kuingia naye kwenye vita. Sasa u looser wake huko wapi?
russia hajawahi kushindwa vita
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Daaah nyie watu nyie wa JF noma sana... Hii comment imeniacha nacheka tu, mada imepamba moto naona hoja moja ikipingwa kwa hoja nyingine..Ulimsikia wapi kakiri ivo wakati haongei lugha ya kishamba kama hiyo englisho?
Tuma now sauti yake tuisikie wote plzzzzz mkuu
Alipigwa na mujahdeen Adghanistan miaka ya 80s enzi za vita baridi akakimbia kama hana akili nzuri...Bisha kama una facts.russia hajawahi kushindwa vita
russia alibakwa na mjahidini kule afghan akarudi mbiombio afu mtu anakuja kubana pua hapa 'russia hajawahi kushindwa vita' kwa tz ilishindwa vita lini?!
Duu! Hapo mkuu una maana gani?Tutazilamba nasikia damu ya mzungu chachu
Kulamba damu ya mzungu [emoji3] [emoji3] [emoji87] [emoji106]Duu! Hapo mkuu una maana gani?
Tutaikamulia machungwa tuibadili iwe tamu[emoji5]Tutazilamba nasikia damu ya mzungu chachu