Mkuu kwa nini usipige simu ofisni kwao upate habari za uhakika?Wadau World Vision wanaita lini usaili??
Kuna mtu kaniambia walifanya interview week iliyopita kwa kazi ya program facilitators ila ya program managers ndo badoWadau World Vision wanaita lini usaili??
majanga/kazi ziko mafinga kupasua mbao 25elf/day ila zaku2mia nguvu karibuni 2po huku na uhasibu we2 2nahexabu magogo
dah kweli worl vission ni wasanii hawa jamaa, kama kuna mdau ana namba zao aziweke hapo
walifanya usahili kabla hata mda wa kuapply haujaisha.