Jamani nimeona world vision wanatangaza kazi leo 1. internal auditors, ICT Manager and Sponsor ship officers.
Kwenye guardian ya leo. If you are a christian apply.
Darling
Thanks for information. BWT does this qualify to be ''breaking news''?
It could have been if the qualifications requirements included this.....He/she must be a muslim.
yale yale mbwa akimuuma mbuzi si habari ila mbuzi akiuma mbuzi ni habari
World Vision wanakuwa na devotion (ibada) ya Kikristo kabla ya Kazi - departmental na Ijumaa ofisi nzima - na hii ni compulstory (part of work) sasa kama mtu sio Mkristo inakubidi ufanye hivyo. Pia katika referee one has to be your pastor - na sio sheikh so hapo non christian anakosa kazi. Hata hivyo sioni sababu wanahitaji Christians tu - they should advertise for all Tanzanians - ili non-christians wakiamua wajoin -
Ningependa kuongezea...
Kulikuwa hamna haja ya kuandika: "If you are a christian apply".
Maana kufanya hivyo anazidisha uchochezi. Ndio maana unyamwezini/US wana insist on "political correctness".
Nashukuru niliachilia mbali miungu na mitume ya wageni!
mkuu p,
...hebu tupe ka experience wanaweka vipi matangazo ya kazi hapo US? ...
naomba kutokubaliana na wewe.....kupiga sala sio kigezo cha kuajili wakisto pekee mfano sospitali ya kcmc wanautaatibu wa kupiga sala kila asubuhi kwa wafanyaakzi wake.....kwa muislamu sio lazima......WV hawana sea za kuajili wakisto pekee haipo....World Vision wanakuwa na devotion (ibada) ya Kikristo kabla ya Kazi - departmental na Ijumaa ofisi nzima - na hii ni compulstory (part of work) sasa kama mtu sio Mkristo inakubidi ufanye hivyo. Pia katika referee one has to be your pastor - na sio sheikh so hapo non christian anakosa kazi. Hata hivyo sioni sababu wanahitaji Christians tu - they should advertise for all Tanzanians - ili non-christians wakiamua wajoin -
naomba kutokubaliana na wewe.....kupiga sala sio kigezo cha kuajili wakisto pekee mfano sospitali ya kcmc wanautaatibu wa kupiga sala kila asubuhi kwa wafanyaakzi wake.....kwa muislamu sio lazima......WV hawana sea za kuajili wakisto pekee haipo....
Uongo mkubwa hilo tangazo halijataja wakisto tu waapply...
mbona waislam wanawafukuza kazi wakristo wengi tu kwenye private sectors, kisa, ati hadi wasilimu kwanza ndo waendelee. niweke kampuni iliyomfukuza kazi ndugu yangu humu kwasababuhiyo?
mbona waislam wanawafukuza kazi wakristo wengi tu kwenye private sectors, kisa, ati hadi wasilimu kwanza ndo waendelee. niweke kampuni iliyomfukuza kazi ndugu yangu humu kwasababuhiyo?
Kila Shirika lina sera zake; kuna secular organisations na religious organisationa. Hao wanaopiga kelel wana lao jambo; je kuna Mkristo au Baniani anweza kuajiriw na Islam World Relief pale Mtaa wa Uhuru KAriakoo? Sina uhakika kama wamehama au la.
Pia waangalie wale wauzaji wa Ice Cream za Azam kwenye vibaiskeli vyao. Ijumaa lazima wavae baraghashia na kanzu, sina hakika kama ndo uniform za Ijumaa au ni klia siku.
Hujasomeka hapo, unamaanisha nini?
Niliuliza habari ile inasifa za kuwa BNs only kwa sababu, hii habari tayari ipo magazetini tena in detail tangia jana, unless sijui maana ya BNs!
Hiyo habari ya Uislam vs Ukristu inakuje hapa ndugu?