W Watika Member Joined Feb 9, 2014 Posts 19 Reaction score 18 Oct 16, 2022 #1 Muhas has ranked number one in East and central Africa, 5 in Africa and top 500 worldwide. Congratulation MUHAS Source World University Rankings
Muhas has ranked number one in East and central Africa, 5 in Africa and top 500 worldwide. Congratulation MUHAS Source World University Rankings
Scars JF-Expert Member Joined Apr 8, 2017 Posts 50,252 Reaction score 123,652 Oct 16, 2022 #2 Hiyo ni baada ya Simba kushinda
Mbekenga JF-Expert Member Joined Jun 14, 2010 Posts 3,258 Reaction score 8,174 Oct 16, 2022 #3 Kati ya wanasheria 23 walioshinda Law School, 13 wametokea SAUTI. Hii ni baada ya Professor kusema kwamba ametolewa jalalani kumbe alishaona ubora wa chuo fulani maarufu.
Kati ya wanasheria 23 walioshinda Law School, 13 wametokea SAUTI. Hii ni baada ya Professor kusema kwamba ametolewa jalalani kumbe alishaona ubora wa chuo fulani maarufu.
Jorge WIP JF-Expert Member Joined Jul 12, 2018 Posts 3,567 Reaction score 5,359 Oct 16, 2022 #4 Sasa watu wenye watoto wanaosoma Law school SAUT je
AnyWayZ JF-Expert Member Joined May 30, 2022 Posts 4,885 Reaction score 8,478 Oct 17, 2022 #5 401 MUHAS WORLDWIDE. Naona Vingi ni US na UK hawa wametangulia kitambo asee.