Hivi hiyo ghorofa imekula pesa nyingi namna hiyo inakitu gani cha maana kwamba hiyo ghorofa imepakwa rangi ya dhahabu na madirisha yote ni ya dhahabu mbona hiyo hela kama huku kwetu. Afrika ukisema ujenge viwanda unaweza ukajenga viwanda vingi sana tena kila nchi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.