world cup live on ITV?

Kamakabuzi

JF-Expert Member
Dec 3, 2007
2,861
1,302
Kuna mtu kanipigia simu kuniuliza kama ITV wataonyesha world cup live mechi zote? Kwa kweli nimeshindwa kumjibu eti itv wametangaza hayo?
Wenye habari kamili tujuze maana nimeingia kwenye wavuti ya ITV nikakuta schedule ya week inayoanzia 8 may!
 
Hawaja tangaza kwamba wataonyesha meshi zote za kombe la dunia bali watakuwa wanafanya uchambuzi baadhi ya michezo itakayo chezwa.
 
Back
Top Bottom