sijakuelewa hapo juu?
ok, karibu timu ya taifa ya Ujerumani
na mimi timu yangu ni brazil na ya africa ni ghana, black star japo kundi la ghana ni la kifo
Miaka yote wapenda soka tulikuwa hatufaidi, ila sasa kweli soka limefika kwa wenyewe...
View attachment 141758View attachment 141759View attachment 141760
advantage pekee kwa Brazil ni kucheza Nyumbani, ila wana timu ya kawaida
Miaka yote wapenda soka tulikuwa hatufaidi, ila sasa kweli soka limefika kwa wenyewe...
View attachment 141758View attachment 141759View attachment 141760
Wakuu ratiba ya WC iliyo wekwa kwenye gazeti la championi sijaielewa, kama kuna aliyeielewa anifafanulie!
Iweje mechi ya kwanza ianze saa 7 usiku na ya pili ianze saa moja usiku na ya tatu saa 4 usiku ya tarehe hiyo hiyo??
advantage pekee kwa Brazil ni kucheza Nyumbani, ila wana timu ya kawaida
ni kweli brazili kikosi chao cha kawaida hasa wale washambuliaji Wao Fred na Jo
ila asa ivi jamaa wanacheza kitimu hat a kama mtu mbovu.