World Cup 2010: Somali football fans executed for watching matches | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

World Cup 2010: Somali football fans executed for watching matches

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Abdulhalim, Jun 15, 2010.

 1. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #1
  Jun 15, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Source
   
 2. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #2
  Jun 15, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Makubwa haya..

   
 3. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #3
  Jun 15, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  I remain speechless!!
   
 4. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #4
  Jun 15, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Kamanda wa Hizbullah anasema ati wawekeze nguvukazi yao kwene JIHAD na sio kuangalia wapujufu wa akili wakirukaruka..Mwe!
   
 5. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #5
  Jun 15, 2010
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,856
  Likes Received: 2,016
  Trophy Points: 280
  Absurd, hivyo vita wanavyopigana hawaoni kuwa vinawapotezea pesa, muda na hawapati experience yoyote zaidi ya kuua watu wasiokuwa na hatia? Upuuzi tu
   
 6. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #6
  Jun 15, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Ooohh Gavana nilikusahau kwene list yangu ya watu wasio na INPUT. Umeingia one second ago.
   
 7. tanga kwetu

  tanga kwetu JF-Expert Member

  #7
  Jun 15, 2010
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 2,165
  Likes Received: 1,125
  Trophy Points: 280
  ..........wataalamu wa Sharia/uislam, naomba kujua hii ni sawa kidini? mbona naona kama kuingilia mambo yasiyo na maantiki kiroho! hata wana wa Israeli walishindwa kuishi kwa sheria za kipuuzi kama hizi maana kadri unavyoweka taratibu ngumu kama hizo ndio kiwango cha unafiki kinavyozidi kuongezeka. nu unafiki wa hali ya juu!!!!
   
 8. kaburunye

  kaburunye JF-Expert Member

  #8
  Jun 15, 2010
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 675
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0

  Huu ni ushetani "in a form of religion".
   
 9. RayB

  RayB JF-Expert Member

  #9
  Jun 15, 2010
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 2,754
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Duh wanakosa mengi hawa watu eeehhh Mbona nchi za kiarabu kunachezwa soka? Mi sielewi kosa ni soka au ni WC?
   
 10. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #10
  Jun 15, 2010
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  Malaria sugu ndo balozi wa izbulah na al shabab hapa nchini nashangaa hajaongea kitu leo
   
 11. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #11
  Jun 15, 2010
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  kumbe kuangalia mpira ni kosa, mbona iran wanayo timu ya taifa, pakistan wanaongoza kriketi, saudia wana timu nzuri, oman na UAE ndo hata wabongo wetu wanaenda kusuuza vipaji huko...sasa nini tena jamani, iyo korani utafikiri ilishushiwa somalia na si saudia...wanataka kuwazidi hadi saudia kabisa...
   
 12. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #12
  Jun 15, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Labda umeme ulikatika kwene ofisi ya Serikali inayoendeshwa kwa kodi zetu.
   
 13. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #13
  Jun 15, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  :pound::pound::pound:
   
 14. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #14
  Jun 15, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  :yell:
   
 15. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #15
  Jun 16, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hii brainwashing ya mambo ya dini across all aisles inachangia mno kuzidumaza Africa. Do you guys remember Kibwetere????
   
 16. M

  Magezi JF-Expert Member

  #16
  Jun 17, 2010
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Tatizo ni kwamba kuna ubinafsi sana pale somalia laiti kama nchi za afrika zikiamua kuisambaratisha al shabab na hizb islam haichukui muda....mbona Ethiopia iliwasambaratisha mwaka 2006? Lakini kwa kuwa kuna ubinafsi sana afrika ndo maana nchi zina kaa kumya.

  Magaidi wanafanya fujo somalia ili wapapte maficho kwani wanasakamwa sana na marekani sehemu zingine sasa sehemu ya kujificha ni somalia.
   
 17. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #17
  Jun 17, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,336
  Likes Received: 22,188
  Trophy Points: 280
  Waislamu sijui ni nani aliyeturoga
   
 18. PJ

  PJ JF-Expert Member

  #18
  Jun 17, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 297
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kazi ya shetani siku zote ni kuua na kuangamiza. Ndiyo asili yake.

  Na hawa wanaodai kutumia jina la mwenyezi Mungu kuua wanamtumkuza baba yao ambaye ni iblisi na shetani
   
Loading...