World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

Haya mbona jabulani haijateleza kwa Howard na Heskey hapo...?
 
Nimegundua England wanaeza kuwa unsettled very easily..hii sio dalili ya mabingwa.
 
Green amelipa goli mlilomlaumu, what a save?!
 
Wamarekani wanacheza kwa ajili ya droo, England washakuwa frustrated hehehe. Timu yao nzuri kwenye media tuu uwanjani hakuna kitu, ngoja nikawazingue washabi wa England sasa.
 
utani wapi ndugu yangu?? naona hawa wanaleta ushkaji kama wa lowassa na JK mazee... there is serious football, with exception of OgUchi Unyeo

bad new to engilang
hahahhhaaaa kha! umenifanya nicheke yani
 
Naona wanywa chai na wala burger leo ngoma suluhu hili kundi lingekuwa tamu kama Iraq au Iran zingekuwepo vile vile.
 
hoiiii hoiiiiiiiiiiii
kwisha khabari yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…