ooh..kumbe no underdogs eeh!..ulivyo na hamu ya Spain kutolewa,utashangaa portugal inaaga haya mashindano!!naomba tu upotee kimya kimya spain wakishinda..
Yaani we acha tu...miye nilikuwa sina pressure na mechi ile lakini baada ya kumalizika penalties na baadhi ya Wacheza wa Japan kuanza kulia kama watoto niliwaonea huruma sana. I hope hawatamtungua na bunduki yule Komona.
mimi nilijiuliza sababu ya komona kupewa penati apige baada mtangazaji kutaja historia ya jamaa.kwanza ni beki sio mbaya lakini mabeki ni wazuri sana kupaisha penati,alafu jamaa hajawai kuifungia goli japan,labda hawakuwa na mtu mwingine zaidi ya huyu kama ingekuwa kwenye extra penaties ningeelewa lakini 5 za mwanzo?