Ab-Titchaz JF-Expert Member Joined Jan 30, 2008 Posts 14,630 Reaction score 4,266 Jun 28, 2010 #4,721 Hawa Chile mimi naona ni kama wataibishwa hapa na kuseti rekodi ya magoli...Damn!!!!!
Yegomasika JF-Expert Member Joined Mar 21, 2009 Posts 13,164 Reaction score 61,273 Jun 28, 2010 #4,722 Sasa hii inakuwa kama chandimu.
BelindaJacob Platinum Member Joined Nov 24, 2008 Posts 6,494 Reaction score 4,076 Jun 28, 2010 #4,723 Brazil Vs Netherlands patamu hapo..nitashangilia baada ya dk 90 mechii hii ijayo!..
Ab-Titchaz JF-Expert Member Joined Jan 30, 2008 Posts 14,630 Reaction score 4,266 Jun 28, 2010 #4,724 Luis Fabiano!!!!
Aza JF-Expert Member Joined Feb 23, 2010 Posts 1,700 Reaction score 233 Jun 28, 2010 #4,725 mh!!dk ya ngapi vile?hata sioni hii screen
Aza JF-Expert Member Joined Feb 23, 2010 Posts 1,700 Reaction score 233 Jun 28, 2010 #4,726 BelindaJacob said: Brazil Vs Netherlands patamu hapo..nitashangilia baada ya dk 90 mechii hii ijayo!.. Click to expand... pamoja sana: hii zaidi ya argentina vs germany sijui ntakua hali gani:biggrin1:
BelindaJacob said: Brazil Vs Netherlands patamu hapo..nitashangilia baada ya dk 90 mechii hii ijayo!.. Click to expand... pamoja sana: hii zaidi ya argentina vs germany sijui ntakua hali gani:biggrin1:
Aza JF-Expert Member Joined Feb 23, 2010 Posts 1,700 Reaction score 233 Jun 28, 2010 #4,727 watu leo wamelala???siwaoni umu hahahahaha!! na bado subirini ya ghana sasa
Ab-Titchaz JF-Expert Member Joined Jan 30, 2008 Posts 14,630 Reaction score 4,266 Jun 28, 2010 #4,728
Ab-Titchaz JF-Expert Member Joined Jan 30, 2008 Posts 14,630 Reaction score 4,266 Jun 28, 2010 #4,729 Aza said: mh!!dk ya ngapi vile?hata sioni hii screen Click to expand... Bado dakika nane pamoja na za majeruhi.
Aza said: mh!!dk ya ngapi vile?hata sioni hii screen Click to expand... Bado dakika nane pamoja na za majeruhi.
Preta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2009 Posts 24,320 Reaction score 18,875 Jun 28, 2010 #4,730 Aza said: watu leo wamelala???siwaoni umu hahahahaha!! na bado subirini ya ghana sasa Click to expand... sijui wameenda wapi....duh...kazi kwelikweli
Aza said: watu leo wamelala???siwaoni umu hahahahaha!! na bado subirini ya ghana sasa Click to expand... sijui wameenda wapi....duh...kazi kwelikweli
Ab-Titchaz JF-Expert Member Joined Jan 30, 2008 Posts 14,630 Reaction score 4,266 Jun 28, 2010 #4,731
Ab-Titchaz JF-Expert Member Joined Jan 30, 2008 Posts 14,630 Reaction score 4,266 Jun 28, 2010 #4,732 Zimebaki dakika 3 na za majeruhi.....
Ab-Titchaz JF-Expert Member Joined Jan 30, 2008 Posts 14,630 Reaction score 4,266 Jun 28, 2010 #4,733 2 mins injury time.
Aza JF-Expert Member Joined Feb 23, 2010 Posts 1,700 Reaction score 233 Jun 28, 2010 #4,734 umesikia iyo tanzania hapo????????????? na bado walale tu kesho wataiona hii cheki iyoo,huu mpira chandimu kweli hahahahaa vibonde naanza kujisikia moyo unarudi
umesikia iyo tanzania hapo????????????? na bado walale tu kesho wataiona hii cheki iyoo,huu mpira chandimu kweli hahahahaa vibonde naanza kujisikia moyo unarudi
Aza JF-Expert Member Joined Feb 23, 2010 Posts 1,700 Reaction score 233 Jun 28, 2010 #4,735 mweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee,jabulani hili??unaweza ukafa
Ab-Titchaz JF-Expert Member Joined Jan 30, 2008 Posts 14,630 Reaction score 4,266 Jun 28, 2010 #4,736 Mpira umekwisha Brazil 3-0 Chile....tusubiri Netherlands sasa.
Pretty JF-Expert Member Joined Mar 19, 2009 Posts 2,579 Reaction score 573 Jun 28, 2010 #4,737 ........Nilijua tu leo Chile watabamizwa.
Preta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2009 Posts 24,320 Reaction score 18,875 Jun 28, 2010 #4,738 Chile.....😛lane:...weraaaa weraaa
Aza JF-Expert Member Joined Feb 23, 2010 Posts 1,700 Reaction score 233 Jun 28, 2010 #4,739 nalala sasa!ila brazil huu sio mpira wanatania ngoja aje ze MESSIIII,TEVEZZZ watavua mtu nguo!!(hope watafanya kitu vs german) lol
nalala sasa!ila brazil huu sio mpira wanatania ngoja aje ze MESSIIII,TEVEZZZ watavua mtu nguo!!(hope watafanya kitu vs german) lol
Aza JF-Expert Member Joined Feb 23, 2010 Posts 1,700 Reaction score 233 Jun 28, 2010 #4,740 ila KAKA noumah