leo ghana tuwaombee washinde halafu mechi ya mwisho wamkomalie sana germany kwani wajerumani wakipata nafasi ya kumkandamiza ghana hawatamuachia hata game ikiwa haina umuhimu kwao.....

huyu prince boateng anacheza ghana....kakaake jerome boateng anachezea ujerumani....je angepewa nafasi ya kuchezea german angeikataa na kukubali ghana??