Chacha wa Mwita
Senior Member
- May 17, 2008
- 169
- 54
sasa hapa nani ka gain point??
sasa hapa nani ka gain point??
![]()
ameanza kutoa machozi wakati game bado kuisha
Three minutes Added Time
Standing ipo hvi kwa sasa
Slovenia 2 1 1 0 3 2 1 4
United Sta 2 0 2 0 3 3 0 2
England 2 0 2 0 1 1 0 2
Algeria 2 0 1 1 0 1 -1 1
Joe COLE ni play maker mzuri sana lakini jamaa hataki kumtumia hata kumleta dakika 15 tu.Lampard, Gerrard hawafai kuwa kwenye hii timu, they are horrible, wanacheza with self interest than team work. ikiwa Crouch, Heskey, Rooney na hata Dafoe wanarudi nyuma kutafuta mipira, Cappelo haoni kuna tatizo? I can not wait to read magazeti ya Uingereza yatakavyoichambua hiyo timu na especially Cappelo!
Good job Algeria!
Lampard, Gerrard hawafai kuwa kwenye hii timu, they are horrible, wanacheza with self interest than team work. ikiwa Crouch, Heskey, Rooney na hata Dafoe wanarudi nyuma kutafuta mipira, Cappelo haoni kuna tatizo? I can not wait to read magazeti ya Uingereza yatakavyoichambua hiyo timu na especially Cappelo!
Good job Algeria!
kwanini England iliwekwa katika best 7 wakati wa kugawa makundi? jamaa mpira bado sana, USA wazuri kuliko hawa.
saafi sana.jumatano waslovenia kama wanasukuma mlevi...
yule MBAYUWAYU aliekuwa kwenye nyavu za algeria sijui kaishiaje? huwezi kuamini hili kundi anaongoza SLOVENIA heheheeh kweli mpira unadunda aisee.
England by any means have a chance, for them a Game with Slovania will be like a Knock out stage already. I predict this group England and Slovania will proceed by USA draws with Algeria and England beats Slovania bya a goal.