World Bank upbeat on Kenya's economy | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

World Bank upbeat on Kenya's economy

Discussion in 'Kenyan News and Politics' started by erfan, Jan 16, 2012.

 1. e

  erfan Member

  #1
  Jan 16, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 70
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
 2. T

  TUMY JF-Expert Member

  #2
  Jan 16, 2012
  Joined: Apr 22, 2009
  Messages: 706
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Great people and great location; I do agree with those two factors. Wengi tumefanikiwa kufika kenya kwa kweli ukiangalia the way wanavyoendesha mambo yao utakubaliana na huyo mchumi aliyezungumza sababu hizo. Mimi binafsi nawakubali sana wakenya kwani hakuna utani linapokuja suala la maendeleo ya nchi yao, ndio wana matatizo yao lakini kile ambacho wanakifanya kwa kweli unaona kwamba kuna uwajibikaji. Pata nafasi ya kutembelea Thika wanapojenga mji wao mpya wa viwanda its wonderful.jamaa wanapiga hatua sana.
   
 3. LE GAGNANT

  LE GAGNANT JF-Expert Member

  #3
  Jan 16, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 1,247
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Wabongo mtaendelea kulumbana mpaka mchoke, maneno mengi, ahadi nyingi hakuna la maana.

  Kweli mjnga ndiye aliwae, madini kuchangia 2.6% ya pato la taifa! Hii nchi ni muflis!
   
Loading...