Baba Joseph17
JF-Expert Member
- Jul 15, 2013
- 9,516
- 9,809
Donald Trump has called for the World Bank to stop lending money to China, a day after the institution adopted a lending plan to Beijing despite Washington’s objections.
The World Bank on Thursday adopted a plan to aid China with $1bn to $1.5bn in low-interest loans annually until 2025. The plan called for lending to “gradually decline” from the previous five-year average of $1.8bn.
Trump tweeted on Friday night: “Why is the World Bank loaning money to China? Can this be possible? China has plenty of money, and if they don’t, they create it. STOP!”
Ndio mara ya kwanza najua kuwa hata china anakopa
Wanaprint helaSerikali ya China ndio serikali inayodaiwa kuliko zote duniani. Ndani na nje. Ndo mana wachumi nguli wanasema uchumi wao msingi wake ni wa glass.
Sikuwahi jua China anadaiwa piaWith China's 2014 GDP being US$ 10,356.508 billion, this makes the government debt of China approximately US$ 4.3 trillion. The foreign debt of China, by June 2015, stood at around US$ 1.68 trillion, according to data from the country's State Administration of Foreign Exchange as quoted by the State Council.
Wikipedia, the free encyclopedia › wiki
National debt of China - Wikipedia
USA ndio nchi yenye deni kubwa zaidi dunia ikiwa ni kama 92% ya GDP yao.Serikali ya China ndio serikali inayodaiwa kuliko zote duniani. Ndani na nje. Ndo mana wachumi nguli wanasema uchumi wao msingi wake ni wa glass.
Lile Jicho la Kaizari(Cesour) shetani hakukosea kuweka ktk Dollar. Na ndio linalompa nguvu. Wengine wataangaika lakini lile Jicho linawaangalia tuuuuHa ha ha! Tena nakumbuka hadi Putin na Xi walikutana eti kuunda sarafu yao; mara wakageukia Euro alimradi tu hawaeleweki. Leo tena wamekimbilia kukopa dola ileile wanayojifanya kuinanga kila siku! Dola tamu asikwambie mtu.
Marekani hashindwi chochote, akiamua kuichafua dunia anachafua ni swala la muda tuuuu.Babu Trump China inampa kichwa kuuma, akiona EU NATO inamtegemea Russia kwa gesi, hafu Saudis, UAE na Waarabu wengine wanatumia pesa zao kujenga nchi zao anajikuta anawakati mgumu wa kupata pesa za kuchezea, ili akapigane vita
Akili kubwa
Mawazo mgandoMarekani hashindwi chochote, akiamua kuichafua dunia anachafua ni swala la muda tuuuu.
Marekani hajakopa sehemu. Ni kuwa kauza bonds zake. Ni tofauti na sisiUSA ndio nchi yenye deni kubwa zaidi dunia ikiwa ni kama 92% ya GDP yao.
Ha ha ha! Tena nakumbuka hadi Putin na Xi walikutana eti kuunda sarafu yao; mara wakageukia Euro alimradi tu hawaeleweki. Leo tena wamekimbilia kukopa dola ileile wanayojifanya kuinanga kila siku! Dola tamu asikwambie mtu.
Okay, Sio kwamba China kaishiwa, anachokifanya china ni kama anachokifanya Iran kwa kutumia pesa nyingi kuhamasisha vita na ugaidi kwenye mataifa mengine wakati watu wake wanaishi katika lindi la umasikini.hahaha,sijaingia GDP banah,naona unataka niingie huko ili useme US Ina GDP kubwa kuliko China,nachojsribu kaonyesha ni kuwa China kuloan bilioni moja sio ishu kivile ya kuanzishia mada,usikute Kuna project world Bank wanafund na SI suala la kuishiwa
Kwahio hadaiwi au[emoji3]Marekani hajakopa sehemu. Ni kuwa kauza bonds zake. Ni tofauti na sisi
IRAN Yawatu Mnapenda Kuisakama MKUUOkay, Sio kwamba China kaishiwa, anachokifanya china ni kama anachokifanya Iran kwa kutumia pesa nyingi kuhamasisha vita na ugaidi kwenye mataifa mengine wakati watu wake wanaishi katika lindi la umasikini.
Kwa vigezo vya msingi China ni nchi masikini kwa sababu asilimia kubwa ya watu wake hawana access na huduma fulanifulani za msingi, ndio maana wanapewa hizo facilities mahususi kwa nchi zinazoendelea.
China inakopa hata kutoka Asian Development Bank ambayo donors wake wakubwa ni USA na Jamani, katika facilities ambazo lengo lake ni kupambana na umasikini katika nchi za Asia.
Sio kwamba kaishiwa, ila priorities zake ndio zina mashaka.
Wewe una-lack proper or credible information on international affairs hali inayokufanya utegemee vijiwe vya kahawa kama source na ndio maana unafikiri US wanaweza wakakosa pesa ya kuendea vitani endapo wakiona kuna umuhimu wa kufanya hivyo.Babu Trump China inampa kichwa kuuma, akiona EU NATO inamtegemea Russia kwa gesi, hafu Saudis, UAE na Waarabu wengine wanatumia pesa zao kujenga nchi zao anajikuta anawakati mgumu wa kupata pesa za kuchezea, ili akapigane vita
China total debt ni 300% ya GDP yaoUSA ndio nchi yenye deni kubwa zaidi dunia ikiwa ni kama 92% ya GDP yao.
Kama hiyo ni sarafu yake ni kwanini ashindane kuwa na reserve kubwa dhidi ya wengine?Hajaweka hata source....
China in reserve kubwa ya USD kuliko hata marekani yenyewe
China total debt ni 300% ya GDP yao
China now accounts for some 15 per cent of overall global debt