World Bank kuipa China mkopo

Bowie

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2016
Posts
4,373
Reaction score
6,088
World bank imeikubali kuipa China mkopo wa dola bilioni 1.9 licha ya pingamizi kutoka serikali ya Marekani.

Je, wataalamu wa uchumi hii imekaaje kwani huyu China ndio mtoa mikopo mikubwa kwa nchi nyingi duniani.
 
Ndio mara ya kwanza najua kuwa hata china anakopa
 
Mchina mjanja anaongeza reserve yake ya dola
Ni kwa usalama wa uchumi wake. China anaweka us dollar reserve kubwa ili kufanya uchumi wake uendelee kukua kwa sababu hiyo inafanya dollar kua na thamani kubwa na yen yake inakua na thamani ndogo hivyo kufanya mauzo yake nje ya nchi yawe rahisi na watu wapendelee vitu kutoka china.
 
China bado ni developing country
Inakopa world bank kwa riba ndogo alafu inakopesha nchi za africa kwa riba kubwa balaa.

Juzi marafiki zetu hawa na kihistoria wametunyima dollar billioni 3 walizokua wametuahidi na tukasaini mikataba ila toka 2016 hawajaachia haya shilingi 100 na wala hawajatoa sababu ya kutufanyia hivyo. Sema sisi tunawapenda kwa sababu hawaingilii mambo yetu ya ndani, hata tukiuana, kuchinjana na kuzikana hai bado hawatuingilii hawa marafiki zetu wa kihistoria.
 
Sema sisi tunawapenda kwa sababu hawaingilii mambo yetu ya ndani, hata tukiuana, kuchinjana na kuzikana hai bado hawatuingilii hawa marafiki zetu wa kihistoria. [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji848][emoji848][emoji848][emoji144][emoji144]
 
Hajaweka hata source....
China in reserve kubwa ya USD kuliko hata marekani yenyewe
 
China has the largest forex reserves in the world — here's how other countries measure up
  • Forex reserves can help a country buoy local currency or even provide insurance in the case of a national economic emergency.
  • China tops other countries in foreign reserves with $3.2 trillion held.
More items...
•
May 28, 2018
 
Kwani nani kabisha?
Kwa exports anazofanya ulitegemea asiwe na reserve kubwa ya USD?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…