World Bank: 50% of Tanzanians live in extreme poverty

Ngoja wajisifu vile wako na mabilionea wengi, ilhali asilimia 70% ya nchi ni maskini. Hiyo 28 million (~46%) ni wale maskini wa kutupwa, ongeza wale wanaoishi chini ya $1.90 kwa siku inafika asilimia 70% ya Watanzania.

Vile nawajua hawa watu, ni uvivu wa kutegemea serikali ifanye kila kitu ndiyo imewafikisha hapa. Mtanzania wa kawaida siyo mtu wa kujituma ama mwenye bidii. Yeye ni angoje apate muhogo na maharage tosha.

hivi nchi gani inaongoza kwa idadi ya watu EA!!!!
na africa pia??

maana naona tunaanza kufikiri kwa mihemko.
 
Somebody Membe alisema watu wanashindia mihogo na madafu wanasinzia sinzia hovyo Ila aliyetufikisha hapa ni Jiwe,kitu kinachosaidia ni kwamba vyakula vinapatikana kwa bei nafuu na nchi haina majanga mengi ya asili Kama Ethiopia
Wewe ni Mkenya unaishi huko Nyanda za Juu Kusini,
Ulishawahi ona kaya hata moja inakosa mlo Tanzania?
 
Back
Top Bottom