Workshop on Cyber Security and its effect on government and corporates | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Workshop on Cyber Security and its effect on government and corporates

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by baju, Jan 7, 2011.

  1. b

    baju Member

    #1
    Jan 7, 2011
    Joined: Oct 16, 2009
    Messages: 6
    Likes Received: 0
    Trophy Points: 0
    Kutakuwa na workshop kubwa ya ulinzi wa mtandaoni (cyber security) na athari zake katika makampuni na mashirika mbali mbali. Workshop hii inatarajiwa kufanyika Morogoro (Morogoro Hotel) kwa siku tatu (26th, 27th na 28th of January, 2011). Workshop hii inaandaliwa na IFM chini ya faculty of Computer science, Informatics and Maths.

    Lengo kubwa la workshop ni kuwapa maarifa washiriki, aina mbali mbali za mashambulizi ya mtandao (cyber attacks) na namna ya kujilinda nayo. Tumeshuhudia madhara ya haya mashambulizi kwenye serikali mbali mbali na kwenye kwenye makampuni binafsi, vile vile workshop itaangalia upya cyber security settings zetu kujilinda na mashambulizi ya mtandao yanayokuja.

    Maudhui yafuatayo yatazungumziwa:

    Overview of cyber security
    Cyber security basics
    Tools and technisues used in Cyber attacks.
    Financial Crimes
    Countermeasures
    Legal aspect for cyber security
    Preparing security policy.

    Wazungumzaji wakubwa ni:
    Prof. George Oreku (mtaalamu wa security Tirdo)
    Dr. Eliamani Sedoyeka (mtaalamu wa security IFM)
    Mr. Mohamed Kira (mtaalamu wa security IFM)

    Walengwa wa hii workshop ni wadau wote wa IT serikalini na makampuni binafsi.

    Kwa maelezo zaidi wasiliana na Dr. Eliamani Sedoyeka (tel: 0784383844, email: huyder@yahoo.com) au Bajuna Salehe (tel: 0789846059/0718062899, email: bajuna.salehe@gmail.com) au Mohammed Saleh (tel: 0715970970, email: m.saleh030@googlemail.com)
     
  2. b

    baju Member

    #2

  3. b

    baju Member

    #3

  4. Iteitei Lya Kitee

    Iteitei Lya Kitee JF-Expert Member

    #4
    Jan 8, 2011
    Joined: Jan 2, 2008
    Messages: 589
    Likes Received: 8
    Trophy Points: 35
    hii imekuja wakati mwafaka je kuna gharama?
     
  5. rancosys

    rancosys Member

    #5
    Jan 8, 2011
    Joined: Jan 14, 2010
    Messages: 51
    Likes Received: 0
    Trophy Points: 0
    That is a good opportunity i was looking for. Thanx InshaAllah i will be ther
     
  6. b

    baju Member

    #6
    Jan 9, 2011
    Joined: Oct 16, 2009
    Messages: 6
    Likes Received: 0
    Trophy Points: 0
    Kutokana na logistics zilizopo kutakuwa na gharama. Kwani workshop itakuwa more hands-on na some tools zitatumika for demos. Hivyo gharama zipo. Kwa mtu mmoja itkuwa ni 900,000/= ambayo itacover huduma zote za workshop isipokuwa malazi na usafiri ambayo mshiriki atajitegemea. Mwisho wa malipo ni tarehe 24/1/2011. Lipa kupitia account ya IFM acc [FONT=&quot]no 01J1042984102 CRDB Bank au kwa cheki (The Rector IFM)
    [/FONT]
     
  7. b

    baju Member

    #7
    Jan 9, 2011
    Joined: Oct 16, 2009
    Messages: 6
    Likes Received: 0
    Trophy Points: 0
    [FONT=&quot]Kutokana na logistics zilizopo kutakuwa na gharama. [/FONT][FONT=&quot]Kwani workshop itakuwa more hands-on na some tools zitatumika for demos. Hivyo gharama zipo. Kwa mtu mmoja itkuwa ni 900,000/= ambayo itacover huduma zote za workshop isipokuwa malazi na usafiri ambayo mshiriki atajitegemea. Mwisho wa malipo ni tarehe 24/1/2011. Lipa kupitia account ya IFM acc [/FONT]no 01J1042984102 CRDB Bank au kwa cheki (The Rector IFM)
     
  8. m

    makaomakuu Member

    #8
    Jan 9, 2011
    Joined: Nov 17, 2010
    Messages: 46
    Likes Received: 0
    Trophy Points: 0
    Weka hapa profile za watoa mada/main speakers!!!!!!
     
Loading...