Wanajamvi wasalaam!
Nimekuwa natumia WordPress kutengeneza websites kwa mwaka sasa mpaka sasa hivi nina online projects zipatazo tano, kwa kipindi chote hiki nimekuwa natumia either theme za bure au za kununua naziconvert kwa website inayokidhi mahitaji ya wateja wangu. Ninauzoefu wa HTML na HTML5 PHP, Javascript, Jquery na CSS3 ndo maana ninamanage kuelewa na kuedit hiz themes.
Kwa sasa natamani sana project inayofuata nitengeneze kwa kutumia theme nloitengeza mwenyewe from scratch shida yangu ya leo hapa ni kuwaomba wadau yeyote anayejua links au tools zingine zinazohitajika kwa kazi hii ninakuomba unisuggestie hapa. Mchango wako ndo utakao timiza ndoto yangu... karibu sana.