Acha Dhambi Senior Member Joined Oct 19, 2010 Posts 147 Reaction score 46 Jan 13, 2014 #1 msaada pc ambayo ina word 2007 lakini haichapa maneno kwani word inafunguka lakini haichapi nisaidieni
msaada pc ambayo ina word 2007 lakini haichapa maneno kwani word inafunguka lakini haichapi nisaidieni
F furahi JF-Expert Member Joined Nov 2, 2010 Posts 945 Reaction score 197 Jan 13, 2014 #2 Keyboard inatype kwenye program zingine? Mfano unaweza kutype kwenye email yako?
Acha Dhambi Senior Member Joined Oct 19, 2010 Posts 147 Reaction score 46 Jan 13, 2014 Thread starter #3 furahi said: Keyboard inatype kwenye program zingine? Mfano unaweza kutype kwenye email yako? Click to expand... yaani shida ni kuanza mpya km kuedit kazi iliyokuwepo inafanya kazi kuanza mpya inafungua lkn ukichapa maneno hayatokei hule mstari unaonyesha maneno hauko
furahi said: Keyboard inatype kwenye program zingine? Mfano unaweza kutype kwenye email yako? Click to expand... yaani shida ni kuanza mpya km kuedit kazi iliyokuwepo inafanya kazi kuanza mpya inafungua lkn ukichapa maneno hayatokei hule mstari unaonyesha maneno hauko
pozzyfaza JF-Expert Member Joined Mar 20, 2012 Posts 1,453 Reaction score 268 Jan 13, 2014 #4 badili windows kama utashindwa kabisa