Abuu Kauthar
JF-Expert Member
- Jul 10, 2011
- 3,950
- 5,692
mathalani!!! sijakuelewa hapo mkuu, methalan ni kitu gani
Duh we mtu wa wapi hujui hata kiswahili chako
mathalani!!! sijakuelewa hapo mkuu, methalan ni kitu gani
Mfano kama hiyo pichani, unauzaje?mathalani!!! sijakuelewa hapo mkuu, methalan ni kitu gani
Hiyo ya pichan ningeuza Lk3 sababu ni ya wirelessMfano kama hiyo pichani, unauzaje?
Hahahahaaa mi ni MTZ. ndio hiv mkuu najifunzia humu humu maneno mengine 😁😁Duh we mtu wa wapi hujui hata kiswahili chako