Wood Euro truck joystick

Mechanical

Member
Oct 20, 2020
64
95
Habari wana members wa jamii forum, mimi ni mtengenezaji wa joystick za kuendeshea magali aina ya truck na Buss (SCANIA, DAF, IVECO,UTONG..... etc) natengeneza joystick kwa material ya mbao hili kuifanya kuwa imara na kudumu kwa kipind kirefu, tofauti na zile za dukan zenye material ya plastick.

Mpaka sasa nimetengeneza moja, kwa sababu bado sijajua aina ya soko lilivyo.Target zangu ni kwa vyuo vya kufundishia udereva wa magari lengo langu ni kuwa na madereva bora wenye uzoefu mkubwa kabla ya kuingia barabarani ili kupunguza ajari za barabarani. Pia kwa watu wa playstation(gamers).

Ningependa kukalibisha maoni na mitazamo yenu, pia kama unaitaji napatikana Mbeya, sae
Namba ya simu 0713342243
 
Picha mkuu
sorry mkuu. picha ndio hiyo hapo ila video inaukubwa kidogo nashindwa ku upload.

IMG_20210518_140028.jpg
 
Mkuu nimefurahi sana kuona kazi yako, mimi mwenyewe nilitengeneza ya kwangu kwaajili ya euro truck sim2. Ntakuonyesha kazi yangu mkuu pia tunaweza shirikiana mkuu mimi natokea Arusha.
Good brother amna shida tuko pamoja, namba yangu ipo hapo, kuna watu wana map za gali ndogo ndio niko najaribu kuzitafuta nione kama nazo zinafaa kutumia H-shifter
 
Siku hizi kuna simulator za malori
Ndio mkuu zipo, nilijalibu kufanta tafiti nikajua kuwa wanazo lakin vyuo vyetu vya udereva changamoto nyingi sana. Mnajifuza class alama za balabalani kama week 2 hiv then mnaingia road, mnatumia gali moja wanafunzi 40 kila mwanafunzi anatembesha kwa dk 2 na ukizingua tisha anakutoa kwenye mstering sasa utajuaje kama umeweza kutembesha gali kwa dk 2, na ndio maana kwa vehicle wengi wanaferi sana practical kuliko theory.
 
Kwa maelezo haya nakupinga 100%
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom