Wondering who she was aiming at

Siku ya kwanza kituko! Sii ajabu anawaonyesha wifi zake
 
huyu ilikuwa bwana harusi kaingia mitini..waandishi wakawa wanampiga picha ndo akawapa hiyo dole la kati...ilikuwa nigeria.angalia fecial expression
 
huyu ilikuwa bwana harusi kaingia mitini..waandishi wakawa wanampiga picha ndo akawapa hiyo dole la kati...ilikuwa nigeria.angalia fecial expression

Mbona ameshavalishwa pete ya ndoa? Angalia kidole cha pili mkono wa kushoto mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…