Kaunga
JF-Expert Member
- Nov 28, 2010
- 12,530
- 13,469
,Nyumbakubwa hajatueleza inakuwaje nyumba yenye panya?
kama mwanamke ambae hajichokoi huko na ile harufu ipo tele
kalala usiku bila kuvaa chupi? lol
Sidhani kama kuna kuwa na harufu kihivyo kama hauna fungal infection. Sijui lakini hatuko sawa, na hata wanaume hawako sawa.