sredi za leo ,dah!kazi haziendi kabisa kwa jinsi sredi zilivyo za zamani
Na Carmel leo ndo anabisha hodi eti! LOLZ!
duuh..full mitego hommie! kha!😀
mi naona bra sio lazima saa zote bwana kuna wakati unaweka tu vile vibandiko kwenye hizo ninihii.. wenyewe wanaita nipple covers...unalamba pamba yako..unakamata mkono wa Mr mnaenda zenu out!
agika umenichekesha mie nilikua nimenuna heheeee eti kandambili za hashim thabit!sipati picha mie!heheheheeeeee kaaazi kwelikweli na sie wenye kandambili za Hashim Thabit? tusemeje nyamayao
mkuu nilishatangaza hapa kuwa one of my dreamz lazima nitie mguu swaziland nikashuhudie nikiwa bado na damu mbichi! Mnake nikienda uzeeni nitakufa kwa mshituko na mifadhaiko!hahaha..kikombe anachokunywa, utakiweza?
Again ..ur sick ! mawazo yako ya kubakabaka , nakuambia uzeeni utabaka wajukuu kwa tamaa zako kama bado hujabaka ! Acha tuonapenda kuona tuone , kuona tunaona na sio lazima tuguse na kama kugusa tunaomba tukipewa poa tukinyimwa poa , kama huwezi kujizuia tafuta tiba mapema!
very true,,,,
na wasi wasi this guy does not get enough sex,
inategemea na mazingira na wakati..
Hii tabia imezuka kila sehemu hapa dar unakuta mtu akiwa na kamaziwa
kamesimama kidogo anaacha kabisa kuvaa brazia ili watu watamaniwe nae
ukimwafata anadai huna uwezo wa kutmbea nae sasa si uweke qualificationa za wanaume unaoweza tembea nao ili wengi tusikimbizane na wewe
chaa ajabu imekuwa kama ppi hata wale wenye maziwa ya saa 12 kamili nao wameanza kutovaa,afadhali mjamwepesi naelewa ila nyie watoto vaeni brazia acheni kuiga watu wa nje ipo siku mtaombwa na wazazi wenu nao ni binadamu na kama ujui laana yake
soma
KUMBUKUMBU 28>..