Women shouldnt cheat on their hubby

Women shouldnt cheat on their hubby

mulwanaka

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Posts
5,260
Reaction score
12,871
Men don't forgive cheating, if he says he forgives you for cheating just know you moved from being main to a side chick (He will use you for sex, and u will fall for it that he still loves you when he doesn't).
You cheat on a man love ends right there no matter how he loved u,especially if he knows for sure that you slept with another man, women don't risk your marriage plz.
 
Tumekuelewa, hakika usaliti hauna msamaha…
 
Kwanini kwa Wanaume hukimbikia KUVUNJA MAHUSIANO Hawa aombwe vp msamaha ilihali wanawake wao HUSAMEHE pale mwanaume "anapolia_lia" alitaka kusamehewa?!?
Tumekuelewa, hakika usaliti hauna msamaha…
 
Kwanini kwa Wanaume hukimbikia KUVUNJA MAHUSIANO Hawa aombwe vp msamaha ilihali wanawake wao HUSAMEHE pale mwanaume "anapolia_lia" alitaka kusamehewa?!?
Nani kakuambia kuwa mwanamke anasamehe usaliti, jua tu pia akigundua umemcheat na ukamthibitishia hilo basi ni kwamba utakuwa umemfungulia rasmi ukurasa wa kukucheat na wanaume wengine huko nje.

Kuepusha visasi visivyo na msingi ni vyema kila mmoja akaendelea na maisha yake.
 
Ha ha ha .. #KILA MMOJA KIVYAKE#
Nani kakuambia kuwa mwanamke anasamehe usaliti, jua tu pia akigundua umemcheat na ukamthibitishia hilo basi ni kwamba utakuwa umemfungulia rasmi ukurasa wa kulia kwa namna yoyote ile atakucheat.

Kuepusha visasi visivyo na msingi ni vyema kila mmoja akaendelea na maisha yake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom