Watu wanaingia kwenye mahusiano bila kujijenga kisaikolojia..wanaingia sababu eti umri umeenda au sijui apate mtu wa kumpikia nyumbani au kwa upande wa wadada wanaingia just because marafiki zake wote wameolewa..au ili mradi tu nae aitwe mrs fulani. Lakinj vijana wengi wanaingia kwenye ndoa bila na kuwa na sababu ya msingi kitu ambacho kinapelekea baadae kuanza kucheat, kudundanda nk.
Mm ningeshauri usiingie kwenye ndoa kwa sababu zisizokuwa na mashiko ingia kwenye ndoa sababu umejipanga na upo tayari kuingia kwenye maisha mengine. Jijenge kisaikolojia kwamba mm nao ni mke au mume sio wa kurudi saa nane za usiku..si wa kuvaa nguo zisizo na heshima..sio wa kuonekana natembea na wanaume/wanawake hovyo..na mambo km hayo.
Kama haupo tayari husiingie kwenye ndoa!
Marriage is calling just like being a teacher, doctor etc. Ukishajua purpose yako kwenye ndoa basi hutojuta wala hutofanya ujinga kama uliosemwa.
Tatizo ndoa imekuwa kama fashion, tunaingia tu kwenye ndoa simply because umri unaenda na tunataka tu kuvaa shela. So Unaolewa kama kuondoa gundu afu ndani ya siku chache unaanza kuona ndoa kama ni zigo la chuma.
Ingia kwenye ndoa ukimpata mtu sahihi, na ukiwa na utayari kabisa wa nafsi wa kuingia kwenye ndoa na ukiwa mature enough kuhimili mikikimikiki ya ndoa.
Tell 'em bro.
Once you decide to marry make sure you have no after/2nd thoughts.
Yani it should be beyond reasonable doubt that it is him or her.
Get rid of all stuffs that will strangle your marriage.
If you cant get rid,dnt get married until you do...Even if you get to 70 years old single...
Wewe mwanamke wa mtu unatafuta nn badoooo me siwezi kukuelewa kwa kweli