Women, don't judge a book by its cover

Women, don't judge a book by its cover

Mkuu usiwaamini sana wanawake, watakuambia wanapenda mwanaume black lkn wakati huohuo hawataki kuendeleza uzao wa black wote wanataka kuzaa watoto weupe.
Na kuna sehemu ninakaa siku hizi wamama wakizaa watoto weusi wanaanza kuwa creem hata kama ni katoto ka kiume
 
Ni sikitiko la nchi kila mmoja wenu anadai anamtaka anayedate naye awe Tall, Black and Handsome pasipo kujali vitu vya maana kama Ucha Mungu, Heshima, Upendo, Kuwajibik , Uvumilivu.

Tafiti zinaonyesha kwamba kutokana na upotofu wa kifikra Kwa wanawake wa kuangalia mwanaume Tall, Black and Handsome wengi wao wamewaalika majangili katika maisha yao. Mwanzoni waliwaona kama Lulu hao wanaume pasipo kuchunguza mapungufu yao kumbe ni maharamia waliovalia ngozi ya kondoo kumbe ni mbwa mwitu.

Mwisho wa siku ni mkong'oto wanaupokea. Wanalia na kusaga meno katika ndoa zao. Mwishoni wanakuja na nyuzi za kutulaumu humu wanaume wa JF. Mkomae, mlidhani mkipata Tall, Black and Handsome mmeumaliza mwendo na kuwatupa wanaume wasio na vigezo hivyo, oneni sasa! Nimalizie tu kusema "Don't Judge a Book by its Cover".

Msipanic. We are just here to have fun.
Ongezea na Rich, huo mkong’oto watavumilia wenyewe wanasema bora kulia kwenye Range, Rolls Royce kuliko kwenye kibaji au toyota cha mwaka 47.
 
Sio kisa una mwabudu Mungu ndo unapate mpenzi ,ilo swala ni lazima kumwabudu mungu kama una inami..

Kila mtu ana vigezo vyake usipendeshe shobo sana utaangukia pua daily,Anza kujikubali mwenyewe mbona washkaji kibao wanashobokewa na wanawake japo wafupi...Nenda na flow jinsi ulivyo.
 
Bora avutie hata akikera anasameheka

Sasa mtu mfupi sura haisomeki, akikera kwa matendo mpaka mwonekano unakera ( au ndo mfupi akose na hela)!
Hapana jamani
Ni kosa la jinai mwanaume kuwa mfupi.
 
Back
Top Bottom