Women do not love you

Manyanza

Platinum Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
22,187
Reaction score
58,330
"Women don't love men."

"They love benefits: your looks, your body, your money."

"The moment you stop serving their needs, they stop calling it love."

"Women don't fall in love, they consume."

"They want money and someone to clean up their emotional mess."

"And the moment you stop feeding that, they call you difficult."

"You wanna know how much a woman really cares, check her effort, not her mouth."

"Because words are free."

"Effort costs something."

"And most women are only generous with words."

Agree???
 
Kama wanawake hawapendi wanapenda chapaa kwa nn kuna mafukara kibao hawana mbele wala nyuma ila wana wapenz wao na ukiwakuta wanapetiana aibu unaona ww na hela zako... na bado una hela ila mapenzi yanakuchapa mpaka unasema nimekoma 🤣🤣
 
Right on the nail bro!
 
Kama wanawake hawapendi wanapenda chapaa kwa nn kuna mafukara kibao hawana mbele wala nyuma ila wana wapenz wao na ukiwakuta wanapetiana aibu unaona ww na hela zako... na bado una hela ila mapenzi yanakuchapa mpaka unasema nimekoma 🤣🤣
Mtoa mada anaelezea wanawake anaowajua yeye, waliomzunguka, masikini wa mali na akili.

Jambo la kwanza kabisa ana assume wanawake wote hawana pesa.

Mpaka hapo kashafeli.
 
Mtoa mada anaelezea wanawake anaowajua yeye, waliomzunguka, masikini wa mali na akili.

Jambo la kwanza kabisa ana assume wanawake wote hawana pesa.

Mpaka hapo kashafeli.
Unachanganya generalization na uhalisia. Sio wanawake wote wako hivyo, kuna wanawake wanmpenda mwanaume kwa ajili ya manufaa kuliko mtu mwenyewe. Mifano ipo mingi kama Emanuel Eboue former Arsenal player

Hata mwanamke mwenye pesa anaweza kutafuta manufaa mengine kutoka kwa mwanaume. Hoja sio nani ana pesa, ila kuna upendo wa dhati au upendo huo ni kwa sababu ya manufaa fulani?
 
Huu ni uongo wa mchana kweupe! Kama la kwako halikupendi shauri yako!
 
Wanaume tunaweza mpenda mwanamke upendo wa Agape? Yaani kama unavyompenda mwanao, hakuna benefit nyingine zaidi ya uwepo wake. No sex, no care, yaani yupo tu hapo kama picha ila unampenda, unamtunza, akikosea unamsamehe.
 
Wewe ndiye unachanganya generalization na uhalisia.

Ukishasema "wanawake wako hivi" tu, chances are, unless you are talking about a very narrow undisputable biological fact, ambazo hata nazo siku hizi zinakuwa challenged, ushakosea.

Kwa sababu wanawake wako wengi sana na wengi sana ni tofauti. Na kuna tofauti nyingi sana katika tamaduni tofauti za dunia.

Ushafika visiwa vya Fiji na Vanuatu na Marshall na Tahiti na Faroe na kuchunguza wanawake wa dunia nzima kujua hayo mambo unayoyasema ni ya wanawake ni ya wanawake kweli, na si ya utamaduni fulani, umasikini fulani, ulio katika jamii inayokuzunguka tu?

Ushakuwa na wanawake wa Finland, Norway, Sweden, Denmark kuhakikisha hizo tabia unazosema ni za wanawake kweli, si za wanawake wenu masikini wa Kiswahili tu?

Ushakwenda kula bata Ulaanbaatar na kujiridhisha wanawake wa huko nao wako kama unavyosema?

Ushafika Kumamoto na kujua wanawake wa huko wakoje?

Ushafika Surabaya na kuangalia huko wako vipi?

Ushafika Novaya Zemlya kujua wanawake wa huko wana tabia gani?

Au umezunguka kijijini kwako tu na kuhitimisha wanawake wote wanaongea Kinyakyusa, kwa sababu tu wanawake wa kijijini kwako wanaongea Kinyakyusa?

Huelewi vipi kuwa wewe ndiye umefanya generalization hapa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…