trisha cute
Senior Member
- Dec 1, 2020
- 194
- 608
Women cheat for a reason...Mwanaume anacheat sababu ya sex...ila mwanamke anacheat sababu ya upendo!anacheat na mtu anaempenda!! anacheat kwa mapendo!! anacheat sababu anampenda huyo anaecheat nae!! Women cheat for love and affection!!
Ps: Wewe Unaonaje..?.[emoji4][emoji41]
Mh[emoji50][emoji50]Hahahhahaah ngoj nisikilizie tuu kuchiti ni moja ya maisha ya mwanaume rijali.
Me sikubaliani na ww mkuuWomen cheat for a reason...
Yaweza ikawa
Kisasi,
Uchumi,
Umalaya,
Tamaa,
Ulevi,
Mwanamke akishapenda ni mara sana kucheat kama hakuna sababu...
Yaani hapa napinga hoja...
[emoji849][emoji849][emoji849]UMALAYA WENU HUO TU
Hakuna sehemu niliyosema unalazimika kukubaliana na mimiMe sikubaliani na ww mkuu
Mwanaume anacheat sababu ya sex...ila mwanamke anacheat sababu ya upendo!anacheat na mtu anaempenda!! anacheat kwa mapendo!! anacheat sababu anampenda huyo anaecheat nae!! Women cheat for love and affection!!
Ps: Wewe Unaonaje..?.[emoji4][emoji41]