Women are fun animals

''Sisi'' tunakufa na tai shingoni kiume 🙂
Sikutakii heri ya mwaka mpya wala nini.
jamani Tized upo wewe? nimefurahiiiiiiii mno kusikia kutoka kwako,siwezi kukupa heri ya mwaka mpya for reasons Tized sema I cant promise when I will tell kwa sababu nakumbuka bado nilikuahidi evidence juu ya trinity nikimaliza hilo nakutajia na hilo pia
 
wala hata mami just relax me niko poa kabisa
 
unaoa mwanamke anaanza kukupangia maisha na boom ni lako!
Tatizo lenu wanawake mkifikishwa Canaan toka utumwani Misri mnamsahau ata aliyekuleta!.anaishia kupangiwa maisha! mnaficha sana makucha mwanzoni mwa mahusiano! ukiwa na uhakika na ukipata na application zingine inakuwa ni sheeda
Yaani ni pasua kichwa! wanajifanza wao ndio wenye akili sana na busara sisi zero!
tatizo ushiriki wenu kwenye kutafuta mali unautata! nchi zingine wanawake wanapiga kazi inaonekana
asa jasho langu tugawane nusu kivipi? jirani zetu Kenya hapa.mwanamke anagawiwa kwa kiwango alichochangia katika huo uchumi sio vinginevyo.
OK kumbe huyu jamaa alipata mwanamke, akamsaidia kipesa, mwanamke akatoka. Sasa huyu sijui alitegemea mkewe awe kichwa kuinama? Naona mambo yameenda tofauti na mategemeo. Kumuacha huwezi!!!! Hahaha jitolee stress zako JF mwaya.

Hivi hii thread ya ngapi umeanzisha eti?
 
The worst and most horrible animal is ONLY YOUR MOTHER, wengine hawakuhusu kwa sababu unaweza kutokushirikiana nao kwa lolote. Mwambie huyo aliyekubeba tumboni kisha akakuita mtu asijue kama kazaa mnyama!.
I second you. Mama yake mleta Mada ndo mnyama.

Kama huyo mwanamke aliyenaye anamsumbua ana uwezo wote wa kumuacha. Kwa sababu zake Binafsi hawezi . Basi kabaki na msongo wa mawazo tu na kutukana wanawake...
 
I second you. Mama yake mleta Mada ndo mnyama.

Kama huyo mwanamke aliyenaye anamsumbua ana uwezo wote wa kumuacha. Kwa sababu zake Binafsi hawezi . Basi kabaki na msongo wa mawazo tu na kutukana wanawake...
Nilitaka kujibu nilijua mama mwenye nyumba kumbe HOUSE GIRL! Nawaachia MAHOUSE BOY WAJIBU
 
Very True
 
Ni kweli kuna baadhi akioa anaona ameoa malaika yaan uote anavovipenda yeye hutakiwa kukosea wakati you have to understand each other tujifunze kufanya vile tunavopenda kufanyiwa kwa wenzetu kwanza kabla ya kudemand wewe kufanyiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…