Women are fun animals

Please baadhi ya wanaume mnatakiwa mjiongeze na mjue hizi facts ziko pande zote na la msingi ni kupambana. kukimbia tatizo sio suluhisho bali kupambana na tatizo na kutafuta suluhisho.

Mtoa mada TAFAKARI THEN CHUKUA HATUA.
Namna ya kupambana ndipo ilipo shida mkuu. Maana kila ulifanyalo mwenzako ajionea tabu. Hata ufanye nini mwenzako haridhiki.
 
my Tized, na- summarise point yako hapo juu..there is nothing like a perfect man/ woman or a perfect relationship. We just need to accept kwamba there is only a "good enough man/ woman". Itatuweka kwenye mentality nzuri ya kuelewa kuwa "ndoa ni muunganiko wa watu wawili wenye mapungufu". So kila mmoja yupo kufukia mapungufu ya mwenzake. We just need to see each other on an even knee. From there hatutokuwa na too much expectations, kama ulivyoongea hapo juu
 
I couldn't agree more....
 
Naamini kuna wakati huwa hawajui wanachokitaka toka kwetu sisi wanaume![/QUOTE]
Hiyo ndo point kuu
 
Cha msingi ni kuomba tu mungu hudumu ktk ndoa yako,nakumbuka pindi nilipokuwa mdogo niliskiwa watu wakisema kuwa mwanamke ni rafiki tu siyo ndugu yako,sikuwa njua maana yake(-------------) , mushike sana mungu atakusaidia.
 
mmmhh! hapa kila mtu atatetea upande wake ila hata kama yako pande zote wanawake mmezidisha
upande wangu sikubalian na mawazo yako. kuna wanaume ukipewa kwa siku moja utataman ardhi ipasuke ujizike mwenyewe. wanakuwa pretender balaa
 
Cha msingi ni kuomba tu mungu hudumu ktk ndoa yako,nakumbuka pindi nilipokuwa mdogo niliskiwa watu wakisema kuwa mwanamke ni rafiki tu siyo ndugu yako,sikuwa njua maana yake(-------------) , mushike sana mungu atakusaidia.
kweli hawa sio ndugu.zetu! ndo maana akiamua kukubadilikia hakumbuki yote uliyomfanyia in the name of love! hata kumuita rafiki nako haifai kwani urafiki wao ni wa mashaka..........wanaume wengi wanakufa na tai zao shingoni lakini vibano vya wanawake wanavyo! ndo naana katika magari kumi yakipita kwenda kazini yenye mke na mume au bae na boo moja tu ndio utaona tabasamu na vicheko! tena hilo ni penzi changa.wengine ndita! ndo kuishi kwaakili huko?!!
 
Uhuni tu!! Huna lolote
 
Mie nshawajulia ndo maana nakula tigo almost kila demu ninaekuwa nae kwenye uhusiano wa kimapenzi 'Valentina'
 
Teh teh teh blaza una user manual ya ndoa?
 
Thats why

Mungu amesema ishin nao kwa akili. Hao ndio jinsi walivyo kaka.
 
Kweli hamuwezi kuishi bila sisi ona sasa uzi unaohusu mwanamke unachangiwa vibaya mno viva wanawake wenzangu loh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…