Nakubaliana na wanaume wenzangu.waliofikia hitimisho kuwa ni rahisi kupata mali ukaimiliki na kufurahia maisha.kuliko kupata mwanamke ukafurahia maisha.japo mpango wa Mungu ni wanaume waoe na waishi na wanawake kwa akili lakini hawa viumbe ni tanzi! unaweza ukafikiria uoe kijijini,ukimleta mjini anakuona wewe uliyemuoa ni fala! unaweza ukaoa mjini ukaonekana unamapungufu kulinganishwa na wenzio! ukionyesha upendo mkubwa na kujari unaonekana umedhibitiwa! ukijitutumua kuwa kauzu unaonekana gaidi!.
una mpromote mwanamke kutoka maisha ya chini akiwa anasoma/hana kazi ya maana,akikamata channel anasahau hata alikotoka! ukimtendea wema leo mwezi ujao/kesho usipofanya wema kama huo unaonekana hujari/ huna faidi,mazuri yanafutwa!
Sijawahi.kusikia mwanaume asiyekili changamoto za hawa mama zetu/Dada zetu.Naamini kuna wakati huwa hawajui wanachokitaka toka kwetu sisi wanaume!
mmmhh! hapa kila mtu atatetea upande wake ila hata kama yako pande zote wanawake mmezidishamhhh hivi ni kwa ke tu au pia kwa me.
vyote ulivyosema hapo juu nakubaliana navyo ila kubali viko pande zote mbili.
Hivi hamuwezi kukaa siku hata moja bila kulalamika kuhusu ke? usifikiri sisi hatuwezi kusema ila wakati mwingine tunaona viko pande zote mbili so inabidi tujiongeze tu.
Please baadhi ya wanaume mnatakiwa mjiongeze na mjue hizi facts ziko pande zote na la msingi ni kupambana. kukimbia tatizo sio suluhisho bali kupambana na tatizo na kutafuta suluhisho.
Mtoa mada TAFAKARI THEN CHUKUA HATUA.
Nakubaliana na wanaume wenzangu.waliofikia hitimisho kuwa ni rahisi kupata mali ukaimiliki na kufurahia maisha.kuliko kupata mwanamke ukafurahia maisha.japo mpango wa Mungu ni wanaume waoe na waishi na wanawake kwa akili lakini hawa viumbe ni tanzi! unaweza ukafikiria uoe kijijini,ukimleta mjini anakuona wewe uliyemuoa ni fala! unaweza ukaoa mjini ukaonekana unamapungufu kulinganishwa na wenzio! ukionyesha upendo mkubwa na kujari unaonekana umedhibitiwa! ukijitutumua kuwa kauzu unaonekana gaidi!.
una mpromote mwanamke kutoka maisha ya chini akiwa anasoma/hana kazi ya maana,akikamata channel anasahau hata alikotoka! ukimtendea wema leo mwezi ujao/kesho usipofanya wema kama huo unaonekana hujari/ huna faidi,mazuri yanafutwa!
Sijawahi.kusikia mwanaume asiyekili changamoto za hawa mama zetu/Dada zetu.Naamini kuna wakati huwa hawajui wanachokitaka toka kwetu sisi wanaume!
Ukitaka ufurahie maisha na wanawake basi usioe,mwanamke mzuri ni yule ambaye hujamuoa na wakati mzuri ni ule ambao hujaoa.leo umemtamani huyu,kesho unatoka na yule etc hapo ndo tutaona raha ya mwanamke manake kila mwanamke ana utamu wake.ukishaoa tu baba,utamu kwishney
unaoa mwanamke anaanza kukupangia maisha na boom ni lako!Ukitaka ufurahie maisha na wanawake basi usioe,mwanamke mzuri ni yule ambaye hujamuoa na wakati mzuri ni ule ambao hujaoa.leo umemtamani huyu,kesho unatoka na yule etc hapo ndo tutaona raha ya mwanamke manake kila mwanamke ana utamu wake.ukishaoa tu baba,utamu kwishney
Mwanaume huwezi lelewa kama tunavyowalea wanawake.ukisema haya mambo yapo kila upande sikuelewi!mhhh hivi ni kwa ke tu au pia kwa me.
vyote ulivyosema hapo juu nakubaliana navyo ila kubali viko pande zote mbili.
Hivi hamuwezi kukaa siku hata moja bila kulalamika kuhusu ke? usifikiri sisi hatuwezi kusema ila wakati mwingine tunaona viko pande zote mbili so inabidi tujiongeze tu.
Please baadhi ya wanaume mnatakiwa mjiongeze na mjue hizi facts ziko pande zote na la msingi ni kupambana. kukimbia tatizo sio suluhisho bali kupambana na tatizo na kutafuta suluhisho.
Mtoa mada TAFAKARI THEN CHUKUA HATUA.
Nakubaliana na wanaume wenzangu waliofikia hitimisho kuwa ni rahisi kupata mali ukaimiliki na kufurahia maisha kuliko kupata mwanamke ukafurahia maisha.
Japo mpango wa Mungu ni wanaume waoe na waishi na wanawake kwa akili lakini hawa viumbe ni tanzi! unaweza ukafikiria uoe kijijini,ukimleta mjini anakuona wewe uliyemuoa ni fala! unaweza ukaoa mjini ukaonekana unamapungufu kulinganishwa na wenzio! ukionyesha upendo mkubwa na kujari unaonekana umedhibitiwa! ukijitutumua kuwa kauzu unaonekana gaidi!.
Una mpromote mwanamke kutoka maisha ya chini akiwa anasoma/hana kazi ya maana, akikamata channel anasahau hata alikotoka! ukimtendea wema leo mwezi ujao/kesho usipofanya wema kama huo unaonekana hujari/ huna faidi, mazuri yanafutwa!
Sijawahi kusikia mwanaume asiyekili changamoto za hawa mama zetu/Dada zetu.Naamini kuna wakati huwa hawajui wanachokitaka toka kwetu sisi wanaume!
Wengi wanaoonyesha kuwa maisha ya ndoa au mahusiano ni swala rahisi mradi utumie akili na uwe open your are not disclosing your dark.story story with these creatures!.hata wale wanaoruhusiwa kuoa wanne wanatariki au kuchepuka! wa mmoja ndo wanagumia na maumivu!''Ishini na wake zenu kwa AKILI''.
Tulishapewa tahadhari mapema... ukiona unaishia kulalamika, jua umeshindwa kufuata 'Manual' ya mwanzilishi wa Ndoa.
Ukiwa open book kwa mwanamke(mr Nice), life becomes less interesting and more predictable. We should not pretend to be who we are not.
Nakubaliana na wanaume wenzangu waliofikia hitimisho kuwa ni rahisi kupata mali ukaimiliki na kufurahia maisha kuliko kupata mwanamke ukafurahia maisha.
Japo mpango wa Mungu ni wanaume waoe na waishi na wanawake kwa akili lakini hawa viumbe ni tanzi! unaweza ukafikiria uoe kijijini,ukimleta mjini anakuona wewe uliyemuoa ni fala! unaweza ukaoa mjini ukaonekana unamapungufu kulinganishwa na wenzio! ukionyesha upendo mkubwa na kujari unaonekana umedhibitiwa! ukijitutumua kuwa kauzu unaonekana gaidi!.
Una mpromote mwanamke kutoka maisha ya chini akiwa anasoma/hana kazi ya maana, akikamata channel anasahau hata alikotoka! ukimtendea wema leo mwezi ujao/kesho usipofanya wema kama huo unaonekana hujari/ huna faidi, mazuri yanafutwa!
Sijawahi kusikia mwanaume asiyekili changamoto za hawa mama zetu/Dada zetu.Naamini kuna wakati huwa hawajui wanachokitaka toka kwetu sisi wanaume!
Mwanaume huwezi lelewa kama tunavyowalea wanawake.ukisema haya mambo yapo kila upande sikuelewi!
Mwanaume unafanyakazi ili ukidhi mahitaji ya familia yako.huku appreciation hakuna upande wa pili ndo unaonekana hujafanya kitu! kama wanawake wapo waache wajitetei kuliko mwanaume kusupport wanachokifanya!
Tatizo lenu wanawake mkifikishwa Canaan toka utumwani Misri mnamsahau ata aliyekuleta!.anaishia kupangiwa maisha! mnaficha sana makucha mwanzoni mwa mahusiano! ukiwa na uhakika na ukipata na application zingine inakuwa ni sheedawanawake sio wabaya hivyo tatizo ni tabia ya asili ya ubinafsi ya wanaume kutaka mwanamke akufanyie mambo yooote yanayokufurahisasha yanayotumia nguvu, akili rohi, tena ayatambue bila hata wewe kumwambia, ajue uko kwenye mood gani wakati hakuwa na wewe, ajue unataka kula nini cjui awe mzuri urefu, unene, rangi, kila kitu unachotaka wewe unasahau ni mwanadamu na yeye
Wengi wanaoonyesha kuwa maisha ya ndoa au mahusiano ni swala rahisi mradi utumie akili na uwe open your are not disclosing your dark.story story with these creatures!.hata wale wanaoruhusiwa kuoa wanne wanatariki au kuchepuka! wa mmoja ndo wanagumia na maumivu!
Darasa lako zuri.lina add value kwenye mada.Mtoa mada: Utafiti unasema "men are from Mars and ladies from Venus" kaa chini na tafakari.....! ina maana ili muishi watu wawili kutoka dunia tofauti lazima kila mmoja akubali mapungufu ya mwenzake na mjenge yale mazuri pamoja muende mbele. Sasa wewe ukijaribu kukimbilia kumbadili mwenzio awe kama wewe unavyotaka sasa hilo ni kujaribu kumfanya awe kama mnyama ambaye unaweza kumtame (kumfundisha utakanyo akatii bila kuhoji) kitu ambacho huwezi kumfanyia binadamu mwenzako kamwe kwa maana ana akili kama zako na ujanja kama wako na kila kitu mwilini kama chako, unapomfanyia jambo fulani basi tafakari jje ukiwa wewe utakubali?!. Kwa wanaume wengi wanawachukulia wanawake zao kama ni property (mali) isiyoukuwa na haki wala usemi wala akili ya kuchanganua hapo ndipo mnapoanzisha fikra mbaya ndani ya mioyo ya hao viumbe wenye akili za ajabu, nguvu za ajabu, uvumilivu wa ajabu, upole wa ajabu na ukali wa ajabu n.k. napita tu....