ThinkPad
JF-Expert Member
- Apr 11, 2008
- 1,844
- 232
Muhammad (Pbuh) is a messenger of Allah, the creator of the universe, the man is so pure has nothing to doing with your allegation, those are mere lie, arrogance and stupidity.
Tutaamininije kuwa huyo allah ndio aliye umba huu ulimwengu?
Je! Sio yeye aliyesema katika kuran kuwa jua huzama kwenye kijito chenye tope jeusi!
Je! kwakusema kuwa Jua huzama kwenye tope JE! ntashawishika vipi kuwa allah atengeneze kitu asicho jua Jiografia ya darasa la nne kuwa Dunia huzunguka jua na dunia ujizungusha yenyewe!!
Kwanza ukifatilia hapa nikama mnajichanganya tu!! maana ukichunguza hauto elewa who is allah and who is god maana hapa ni kama mchanyato hakuna kinachoeleweka.
Kama hauiamini fatilia lazima utapata tofautio ya allah na God yaani Mungu.
Ndio maana Waislam hawatumii neno Mungu hata kama wanatumia kiswahili na hawatumii neno God hata kama wanatumia kiingerea nadhani hapo mtaelewa.