Woman Suicide Bomber ameua zaidi ya watu 40

Muhammad (Pbuh) is a messenger of Allah, the creator of the universe, the man is so pure has nothing to doing with your allegation, those are mere lie, arrogance and stupidity.

Tutaamininije kuwa huyo allah ndio aliye umba huu ulimwengu?
Je! Sio yeye aliyesema katika kuran kuwa jua huzama kwenye kijito chenye tope jeusi!
Je! kwakusema kuwa Jua huzama kwenye tope JE! ntashawishika vipi kuwa allah atengeneze kitu asicho jua Jiografia ya darasa la nne kuwa Dunia huzunguka jua na dunia ujizungusha yenyewe!!

Kwanza ukifatilia hapa nikama mnajichanganya tu!! maana ukichunguza hauto elewa who is allah and who is god maana hapa ni kama mchanyato hakuna kinachoeleweka.

Kama hauiamini fatilia lazima utapata tofautio ya allah na God yaani Mungu.

Ndio maana Waislam hawatumii neno Mungu hata kama wanatumia kiswahili na hawatumii neno God hata kama wanatumia kiingerea nadhani hapo mtaelewa.
 
labda hii unaweze iamini au utasema ni agent wa wamarekani tena

http://english.aljazeera.net/news/middleeast/2010/02/2010219555454789.html

Thanks for the link,

The killings and hatred in Iraqs is the result evils of invasions which divided once the peacefull country into secretarian regimes and this is the results of "Western toilet papers goverments" i.e. puppets has to do to its own people.

My entire blame goes to Invaders and their puppet leaders, until they leave and iraq are free society as before ...then we can blame a wrong doers

Waiting to see obama and his evils get out of iraq damn
 
Tuma kuna problem katika hili kama memory yako iko sawa thread mbalimbali zilizokwishapita proof kadhaa kutoka katika kitabu chenu kuwa the guy was not as nice as your trying to say instead as evil as his followers are portraying his character, ideologies and philosophies in his own book. So far tutakuwa tunakuwa tunaweka reference tu.

Are you trying to say America soldiers (christians) killings in Iraq portray what their book says

Are you saying UK soldiers, US and Allies (christians) killings in afghanistan portray what their book says..

Stop double standards and come to reality people are fighting for injustice brought about by evil occupations and killings of their kids and their loved once..until they stop ..resistance is sacred thing for a man with integrity
 
Tumaini
American army is composed of christian, muslim, hindus, jews etc why are you so negative about Americans?
 
Oh mimi siongelei mbwa (askari anayetafuta fedha na maisha anaweza kuwa mkristo, muislam, jew etc) naongelea mwenye mbwa (christian leaders)

Mwenye mbwa amemtuma mbwa wake auwe watoto, wanawake, ili aeneze dini yake ambayo ni ukristo, mali kwa unyonyaji
 
LORD'S RESISTANCE ARMY,NORTHEN IRELAND....... wanapigana na bible mkononi na wote wanatambulika kama vikundi vya kigaidi.LOL,,,,
Hata Nigeria haya machafuko ya juzi yalikuwa ni wakristu walivamia kijiji cha waislamu na kufanya mauaji ya halaiki(sijui mwenzetu chanzo chako cha habari ni kipi).
Kinachosumbua dunia ya kiislamu(waarabu) ni kupigania utawala (power fighting) na kwa sababu waarabu wengi wameshindwa kutofautisha kati ya maisha ya kawaida na dini(for them,religion is life and life is religion).wanafanya upumbavu mwingi wakiamini wanafanya kwa ajili ya dini.jaribu kutafuta kitabu hiki The haj kilichoandikwa na Leon Uris ndio utajua tatizo la waarabu na sio uislamu.
Poleni sana mnaoamini katika dini kwani utumwa wa kifikra hautawaondoka milele.
mkienda kuhiji katika miji ya NAZARETH na GALILAYA,MECCA na MEDDINA mnahisi mnapatabaraka toka kwa mungu.
ila mkienda kuhiji kwenye makaburi ya machifu wenu wa ukoo mlikotoka, mnaambiwa ni ushirikina na mnaabudu mapepo na mizimu..
imagine kama JESUS au MUHAMMAD wangekuwa ni wanyamwezi,kuna myahudi au muarabu angemuamini...??????
 
Tutaamininije kuwa huyo allah ndio aliye umba huu ulimwengu?
Je! Sio yeye aliyesema katika kuran kuwa jua huzama kwenye kijito chenye tope jeusi!
Je! kwakusema kuwa Jua huzama kwenye tope JE! ntashawishika vipi kuwa allah atengeneze kitu asicho jua Jiografia ya darasa la nne kuwa Dunia huzunguka jua na dunia ujizungusha yenyewe!!

Kwanza ukifatilia hapa nikama mnajichanganya tu!! maana ukichunguza hauto elewa who is allah and who is god maana hapa ni kama mchanyato hakuna kinachoeleweka.

Kama hauiamini fatilia lazima utapata tofautio ya allah na God yaani Mungu.

Ndio maana Waislam hawatumii neno Mungu hata kama wanatumia kiswahili na hawatumii neno God hata kama wanatumia kiingerea nadhani hapo mtaelewa.
Gallileo gallilei ambaye anatambulika kama baba wa sayansi aliitwa mbele ya kanisa na kuamriwa akanushe kauli yake kuwa ''dunia inazunguka jua'' na atangaze kuwa maandishi ya bible ndio yako sahii kuwa ''jua ndilo linalozunguka dunia''
sijui huyo JEHOVA naye atakuwa hajaenda shule!!!
As for allah.. hilo ni jina moja kati ya majina 99 ya mwenyezi mungu ambalo linaunganisha(combines) sifa nyingi za mungu kwa pamoja.
nadhani unajua kuwa miungu wako wengi na mwingine unaomjua anaitwa YESU
 
Allegations without proof! is as good nonsense, irresponsible, lie, arrogance and stupidity..

Muhammad is a Messenger of Allah, the creator of universe and earth.

Acha uzushi ndugu Tumain, kama huyo Allah angeumba universe angejua angalau jua kama lanazama au halizami! Kama linazama linazama wapi? Eti yeye anadai "jua linazama kwenye tope!"
 
Gallileo gallilei ambaye anatambulika kama baba wa sayansi aliitwa mbele ya kanisa na kuamriwa akanushe kauli yake kuwa ''dunia inazunguka jua'' na atangaze kuwa maandishi ya bible ndio yako sahii kuwa ''jua ndilo linalozunguka dunia''
sijui huyo JEHOVA naye atakuwa hajaenda shule!!!

Acha pumba, hapa Jehova anaingiaje?
 
Acha uzushi ndugu Tumain, kama huyo Allah angeumba universe angejua angalau jua kama lanazama au halizami! Kama linazama linazama wapi? Eti yeye anadai "jua linazama kwenye tope!"

Proof! from the authetic source the Qur'an please.

Vinginevyo utakuwa mzushi na aibu ndugu kwako..usifurahishe baraza hulazimishwi kuwa muislamu lakini kwanini useme uongo?
 
Hivi huyu mama baada ya kuangamiza roho za watu 40 ndio tuseme katumwa na Allah na kule akhera akifika atapatiwa wanaume 72 ili wamfanye kitu mbaya maisha yake yote?
 
Are you trying to say America soldiers (christians) killings in Iraq portray what their book says

Are you saying UK soldiers, US and Allies (christians) killings in afghanistan portray what their book says..

Stop double standards and come to reality people are fighting for injustice brought about by evil occupations and killings of their kids and their loved once..until they stop ..resistance is sacred thing for a man with integrity
They dont know what's the different between terrorism and freedom fighting.The biggest problem with our christia fellas is that,globalization,imperialism and americanisim is part of their belief(christinity)...Anything that goes antamericanism is against their belief.
They believe what they dont know and they know what they dont believe.''''''''lets wait for the second comming to salve this missery'''''
 
They dont know what's the different between terrorism and freedom fighting.The biggest problem with our christia fellas is that,globalization,imperialism and americanisim is part of their belief(christinity)...Anything that goes antamericanism is against their belief.
They believe what they dont know and they know what they dont believe.''''''''lets wait for the second comming to salve this missery'''''
 
Proof! from the authetic source the Qur'an please.

Vinginevyo utakuwa mzushi na aibu ndugu kwako..usifurahishe baraza hulazimishwi kuwa muislamu lakini kwanini useme uongo?

"Hata alipo fika machwea-jua aliliona linatua katika checmchem yenye matope meusi. Na hapo akawakuta watu. Tukasema: Ewe Dhul-Qarnaini! Ama uwaadhibu au watwae kwa wema." (Quran 18:86).
 
Embu elezea umeelewaje hii sura? maana sioni tatizo lolote hapo....au fikra mgando zinakusumbua
 
Kuna mwanamke ameua zaidi ya 40 pilgrims huko Iraq.I guess atakuwa ni Sunni amewatarget Washia.

Tuone jamani kama serikali za kiislamu zitalaani huu uuaji.Wasije wakasemaJews ndio wamefanya hivi.Hapa JF kuna kuna watu wako obsessed na Jews;kumbe many killings za Waislamu ni wao kwa wao.

Kama Ulaya kuna issue ya Minareti,utaona hata fatwa inatolewa.
Lakini kiliings ya watu hapo Iran na woman suicide bomber,no any Muslim counytry will condemn this.
Ndio maana nchi za Ulaya zinaogopa burkha kwa wanawake hujui wameficha nini humo!

Thought of the day:

Hivi huyu Mwana Mama anategemea lolote kutoka kwa Allah? Maana, mimi binafsi sijaona ahadi yeyote nzuri waliyo pewa akina mama wa allah zaidi ya allah kusema kuwa wao ni kuni za Jehanam!

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom