Woman Suicide Bomber ameua zaidi ya watu 40

mmakonde

JF-Expert Member
Dec 26, 2009
965
66
Kuna mwanamke ameua zaidi ya 40 pilgrims huko Iraq.I guess atakuwa ni Sunni amewatarget Washia.

Tuone jamani kama serikali za kiislamu zitalaani huu uuaji.Wasije wakasemaJews ndio wamefanya hivi.Hapa JF kuna kuna watu wako obsessed na Jews;kumbe many killings za Waislamu ni wao kwa wao.

Kama Ulaya kuna issue ya Minareti,utaona hata fatwa inatolewa.
Lakini kiliings ya watu hapo Iran na woman suicide bomber,no any Muslim counytry will condemn this.
Ndio maana nchi za Ulaya zinaogopa burkha kwa wanawake hujui wameficha nini humo!
 
Waberoya,you are right kumpin point huyu Tumaini!Yuko obsessed na Palestine na waarabu kuliko Uafrika wake.Nimewahi kumuuliza je yeye ni Mwarabu?Hajanijibu.

Tumaini na wenzake wenye propaganda ya Uislamists wako ok kupost graphic pictures
za palestine kids dying(which is sad of course) lakini hawawezi kupost picha za mauaji
ya suicide bombers .

Watu wengi wasomi wanajua kuwa kuna tatizo kubwa sana la Shia and Sunni islam wenyewe kwa wenyewe.Scapegoat ni Israel kila siku.

I am glad wasomi wengi wa JF hatujakuwa brainwashed na mtu yoyote,ni free mind ,free media hapa!
 
Generalisation ni mbaya sidhani kuwa serikali za kiislamu hazitacondem mambo haya sijui lakini maana waarabu nao mh!!!. This is another tragic in the muslim world ambao kuna kikundi cha watu wana mtizamo mgumu (conservative) about islam kama ilivyo ndani ya ukatoliki baadhi yao kuona wakristo wengine hawafai au wamepotea.
 
This is true kwakweli na hii conflict ya Shia na Sunni inatrace back to Khalifat era na utakuta ilikuwa mainly in struggle for power. Na mara nyingi hawa walipuaji ni akina mama wana matatizo ya kiakili au kisaikolojia ambapo jamaa huwatumia kuwa plant niliangalia kipindi kimoja BBC panorama jinsi wanavyowadaka hawa akina mama utasikitika kwa kweli. Wanachukua wale akina mama ambao wamekata tamaa either waume zao wamekufa au kuwawa, au familia yote imeteketea wanawatrain it is a disgrace but ndio hivyo katika community kuna kikundi cha watu wanamtazamo mbovu wa maisha na uislamu hausupport hata kidogo the killing of watu wasio na hatia
 
Mdodoanji kusema Catholic wanaona dini zingine hazifai,that is an opinion.
Lakini huwezi kusikia MCatholic ameenda kwenye kanisa la Kakobe,akawa suicide bomber na kuwaua waumini wa Kakobe.

Ila tunaona Muslim wa Nigeria wanavyowafanya Wakristu huko North Nigeria
Hata Wanigeria (muslim),wemehitimu na kutoa terrorist wa kwanza internationally,
Mr Abdulmuttalab.
 
Waberoya,you are right kumpin point huyu Tumaini!Yuko obsessed na Palestine na waarabu kuliko Uafrika wake.Nimewahi kumuuliza je yeye ni Mwarabu?Hajanijibu.

Tumaini na wenzake wenye propaganda ya Uislamists wako ok kupost graphic pictures
za palestine kids dying(which is sad of course) lakini hawawezi kupost picha za mauaji
ya suicide bombers .

Watu wengi wasomi wanajua kuwa kuna tatizo kubwa sana la Shia and Sunni islam wenyewe kwa wenyewe.Scapegoat ni Israel kila siku.

I am glad wasomi wengi wa JF hatujakuwa brainwashed na mtu yoyote,ni free mind ,free media hapa!

wewe ni brainwashed totally, huna free mind hata kidogo maana unafurahia waislamu wakiuliwa shame on you
 
Generalisation ni mbaya sidhani kuwa serikali za kiislamu hazitacondem mambo haya sijui lakini maana waarabu nao mh!!!. This is another tragic in the muslim world ambao kuna kikundi cha watu wana mtizamo mgumu (conservative) about islam kama ilivyo ndani ya ukatoliki baadhi yao kuona wakristo wengine hawafai au wamepotea.

chuki binafsi wakristu wanaloamini ni moja tofauti zao ni kidogo mno na haziwezi kufikia hatua ya kuuwana kama hawa wa shia na na sunni, na sijui hata huyo mama anajua alichokifanya au amekuwa brainwashed tu, au ameahidiwa akifika huko ahera atakutana na mwanaume bikra may be
 
Tumaini condemn mauaji ya suicide bomber at least.Nakuuliza wewe ni mtanzania halisi au mwarabu ?
 
Ha ha ha sad indeed, sijapata source ya hii story mpaka sasa naamini ni propaganda za mmakonde na mabwana zake jew!

labda unaisubiria kupitia source zako za Sudan, ungemalizia kwa kusema ni propaganda za israel, USA na UK, wewe ni mtu wa namna gani you think
this world is meant purposely for one religion, man you are totally lost,so sorry for that
 
Shia versus Suni, killing one another! Tatizo la hayo yote ni muuaji, mwizi, mbakaji, mzinzi, mwongo, etc, marehemu Muhammad! His followers are doing exactly the same evils as marehemu Muhammad's evils!
 
Ha ha ha world is meant for one religion wewe wasema mimi sijawahi kusema hayo..kusengekuwa na pepo na jahanamu lazima kuwepo dini nyingi duniani ...

I am not lost just give the source, ili tuchambue kwa hekima
 
Muhammad (Pbuh) is a messenger of Allah, the creator of the universe, the man is so pure has nothing to doing with your allegation, those are mere lie, arrogance and stupidity.
 
wewe hata ukipwea accurate source siutaishia kusema ni propaganda???
 
Muhammad (Pbuh) is a messenger of Allah, the creator of the universe, the man is so pure has nothing to doing with your allegation, those are mere lie, arrogance and stupidity.

Marehemu Muhammad is not the messenger of anything, other than the devil! Are you suggesting that Allah is the devil himself?
 
Allegations without proof! is as good nonsense, irresponsible, lie, arrogance and stupidity..

Muhammad is a Messenger of Allah, the creator of universe and earth.
 
Tuma kuna problem katika hili kama memory yako iko sawa thread mbalimbali zilizokwishapita proof kadhaa kutoka katika kitabu chenu kuwa the guy was not as nice as your trying to say instead as evil as his followers are portraying his character, ideologies and philosophies in his own book. So far tutakuwa tunakuwa tunaweka reference tu.
 
Back
Top Bottom