Woga wangu wa kuogopa kuoa.

Woga wangu wa kuogopa kuoa.

Woga wangu wa kutokujua. nitakuwa na furaha? Nitapata ugumu? Nitashidwa?
Ni ukurasa mwingine mkubwa katika maisha yangu, sijui itakavyo kuwa. Nasikia ushauri na hadithi za waliopo kwenye ndoa na wale ambao walikuwepo sasa wapo njee ya ulingo, zinachanganya sana.

Woga mwingine ni wa kuoa mtu siyo sahihi katika maisha yangu. Kisha itazaliwa unhappy marriage. Hali hii itadumu mpaka siku ya kufa sababu katika akili yangu amna wazo la divorce. Wazo langu kubwa ni kuwa na ndoa ya furaha

Je mwana MMU, woga wako wa kuoa/kuolewa ni upi?





hapo ndo kuna woga wangu mimi
 
Back
Top Bottom