Wndow 8 or?

Mad Max

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
19,052
49,690
samahani. computer yangu ina specifications hizi:
dell latitude d610
ram 512mb
processor 1.7ghz
hdd 40gb
kuna nembo imeandikwa designed for window xp, but nataka use window 8.
kuna madhara?
 
kwa uwezo huo wa hiyo ram ckushauri uweke window 7 wala 8 coz itakua nzito pia hautaenjoy kwa matumizi pia. Bora ram ingekuwa angalau 1GB nadhan mambo yangeenda japo ni vizuri zaidi ukiwa na 2GB kwa hizo operatn system.
 
Processor yako ni 1.7Ghz lakini kuanzia Windows Se7en Duo Core(processor 2) ni nzuri zaidi

Maelezo yafuatayo nimeyatoa kutoka: Windows 7 system requirements - Microsoft Windows

"Windows 7 system requirements

If you want to run Windows 7 on your PC, here's what it takes:


1 gigahertz (GHz) or faster 32-bit (x86) or 64-bit (x64) processor

1 gigabyte (GB) RAM (32-bit) or 2 GB RAM (64-bit)

16 GB available hard disk space (32-bit) or 20 GB (64-bit)

DirectX 9 graphics device with WDDM 1.0 or higher driver

Additional requirements to use certain features:

Internet access (fees may apply)

Depending on resolution, video playback may require additional memory and advanced graphics hardware

Some games and programs might require a graphics card compatible with DirectX 10 or higher for optimal performance

For some Windows Media Center functionality a TV tuner and additional hardware may be required

Windows Touch and Tablet PCs require specific hardware

HomeGroup requires a network and PCs running Windows 7

DVD/CD authoring requires a compatible optical drive

BitLocker requires Trusted Platform Module (TPM) 1.2

BitLocker To Go requires a USB flash drive

Windows XP Mode requires an additional 1 GB of RAM and an additional 15 GB of available hard disk space.

Music and sound require audio output

Product functionality and graphics may vary based on your system configuration. Some features may require advanced or additional hardware.

PCs with multi-core processors:
Windows 7 was designed to work with today's multi-core processors. All 32-bit versions of Windows 7 can support up to 32 processor cores, while 64‑bit versions can support up to 256 processor cores.

PCs with multiple processors (CPUs):
Commercial servers, workstations, and other high-end PCs may have more than one physical processor. Windows 7 Professional, Enterprise, and Ultimate allow for two physical processors, providing the best performance on these computers. Windows 7 Starter, Home Basic, and Home Premium will recognize only one physical processor."

Source: Windows 7 system requirements - Microsoft Windows
 
thanks guys...
I think it's better nikiendelea na window xp S2.
 
Ndio madhara yako kwa sababu computer yako haijafikia sifa ambayo imewekwa kwa ajili ya matumizi ya Windows 8. Ili uweze kutumia au kuinstall windows 8 lazima computer yako iwe na sifa zifuatazo


  • 1GHz 32-bit (x86) or 64-bit (x64)
  • 1GB (x86) or 2GB (x64) system memory
16GB hard drive

Kama computer yako itakuwa haijafikia sifa nilizozitaja hapo juu na wewe ukalazimisha kuinstall windows 8 basi computer itakuwa slow in terms of performance kwa sababu haijafikia vigezo vinavyohitajika ili windows hiyo iweze kufanya kazi vizuri katika computer yako.
 
thanks guys...
I think it's better nikiendelea na window xp S2.

kwa usalama zaidi Unatakiwa pia kuupdate windows Xp yako iwe na SP 3. micrsoft waliongeza support ya XP mpaka mwaka 2014. Hiyo ni kufidia madudud ya Vista iiyolazamisha watu wengi wa downgrade.

Options nyingingie unayoweza kufanya ni kunnua RAM na kuongeza size na unaweza kununua hata CPU yenye clock speed nzuri. Ukifanya hayo unaweza kuinstal Windows saba(7) au 8
 
Bila ubishi hapo ni XP SP 3
WIN7 AU 8 lazma uwe na RAM angalau 1Gb.
humo 7 inakubali lakin uwe tayar kuwa ufanisi wa mfumo wa kompyuta utakuwa so low au kustak stak mara kwa mara.
 
dell latitude d610
ram 512mb
processor 1.7ghz
hdd 40gb Kwa maelezo yako mimi pia ninakushauri Utumie Ubuntu ni nzuri kwa hiyo Dell Latitude d610 a Ram yako ya Ram512 ni ndogo sana kwakutumia Windows 7 au windows 8 bora Ubuntu au Windows XP itakuwa bora zaidi angali kitu ubuntu tena ni bure bila malipo ona hapa chini.

2Q==
[h=5] [/h]


fZ5yR.jpg

[h=1]Download Ubuntu[/h][h=2]You can download Ubuntu online, completely free. bonyeza hapa Download | Ubuntu[/h]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom