Yap yap...nimegundua hawa Wanaija wakitulia kuimba wazuri tu sana
ingawa wanapenda sana nyimbo za ku dance....
Naipenda sana hata mi.umenikumbusha mbali
Ameutendea haki sana tu, kuna mwingine naupenda sana pia nao hauchezeki but unanivutia sanaa, unaitwa Ololufe, Flavour Ft Chidinma, yaani huyu mdada nampenda balaa, ka cute sana!
STAR BOY WIZZY namkubali sana..toka holla at your boy na tease.. Hawa ndio wasanii sasa..siwezi kuacha kumpigia wizzy kid kura eti nimpigie Diamond..kwa lipi hasa.. acha nisiwe mzalendo kama uzalendo
Dogoo namkubali sanaa coz ana
1)sauti ya kipekeee ... yanii mimi dogoo nukimwangalia na mwona up coming #2face
2)Then hanagaa zilee sifaa za kijingaa kama davido&dimond.
3)nyimbo zilizo nivutia top 5 #ojuelegba #expensive shit #show my money #carol #halla t you
Team #lastarboy
Anachovutia watu hana mbwembwe sana. Na pia uwezo wake wa Kurap na Kuimba anafit kila kona.
Hahaha, mie mvivu kufuatilia lyrics, leo umenifanza nikausikiliza na lyrics zako. Huwa najua hapa tu
I am feeling good tonight
This thing got me thanking God for life
Oh, I cant explain
I cant explain eh yea
STAR BOY WIZZY namkubali sana..toka holla at your boy na tease.. Hawa ndio wasanii sasa..siwezi kuacha kumpigia wizzy kid kura eti nimpigie Diamond..kwa lipi hasa.. acha nisiwe mzalendo kama uzalendo ndio huo
Ameutendea haki sana tu, kuna mwingine naupenda sana pia nao hauchezeki but unanivutia sanaa, unaitwa Ololufe, Flavour Ft Chidinma, yaani huyu mdada nampenda balaa, ka cute sana!
Nyamayao kwa nijeria huu ndo wimbo bora zaidi kwangu ila nimeona kama dada alimfunika zaid mr flavour..ila ni mzuri kwa kweli video pia godfather kaitendea haki kwa kweli
Sio swali uloulizwa wala si maudhui ya huu uzi.
nyumba kubwa umeusikia huu wimbo?
Anachovutia watu hana mbwembwe sana. Na pia uwezo wake wa Kurap na Kuimba anafit kila kona.
Kwa sisi wafuatiliaji misifa anayo sana...ana tabia ya kushow off expensive watches online....kuna kipindi niliona wanaija wanamuhusia aache ubishoo Davido amekuja kumshika....ukizingatia anatokea familia poor mwenzie kazaliwa na silver spoon