Tetesi:kuna habari zinazoenea kwa kasi juu ya wizi wa watoto hasa DAR.habri zaid zinadai wezi hao wanatumia gari aina ya Noah nyeusi.Pindi wanapoiba watoto huwakata vichwa na kuwanyofoa sehemu za siri.Hata Jana nackia tabata shule pale hiyo gari ilikutwa ikiwa na vichwa vya watoto.km ni kweli kwann serikali haifuatilii suala hili ?mana watoto wapo mashakani.
Tafadhali mwenye taarifa rasmi za uhakika na kuhusu kilichotokea Jana tabata shule atuambie.Nawasilisha
Nimeona kwenye taarifa ya habari jana ITV wamekanusha jambo hilo na walimu wa hiyo shule pia wanadai watoto wote wako salama.Watu walikuwa wamejazana kituo cha polisi Tabata wakitaka kupiga mawe noah iliyokuwepo hapo kituoni wakazuiliwa. Askari walidai ni gari ya sraff mwenzao hivyo waliwatawanya wananchi
Haiingii akilini, kwani tabata hakuna Noah nyeusi hadi watake kuivamia hiyo ya askari?Watu walikuwa wamejazana kituo cha polisi Tabata wakitaka kupiga mawe noah iliyokuwepo hapo kituoni wakazuiliwa. Askari walidai ni gari ya sraff mwenzao hivyo waliwatawanya wananchi
Rasimu lazima isainiwe ndani ya siku 30,miezi 3 kwa ajili ya kutoa elimu kwa wananchi then kuipigia kura! Tujadiri Rasimu iliyopendekezwa hao ma Spin Doctors wanaotutoa kwenye mijadara ya Rasimu watafute mbinu nyingine.
Haiingii akilini, kwani tabata hakuna Noah nyeusi hadi watake kuivamia hiyo ya askari?
Jana nilipita tabata shule, ule umati nilioukuta hadi niliogopa