Wizi wa simu

Raaj

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2013
Posts
205
Reaction score
29
Ndugu wana Jf huku kwetu wizi wa simu umekithiri sana juzi niliibiwa Nokia C3,nime jichanga nime nunua Nokia X2-01,kama mjuavyo kinga ni bora kuliko tiba naomba msaada Ndugu zangu kama kuna uwezekano mnipe maujanja ya kufanya ili mtu akiiba na kubadiri laini nitumiwe sms au njia ambayo inaweza kunisaidia kuipata simu ikiibiwa
Asanteni sana
 

acha kuchosha watu basi aiseeeee wenzio wameibiwa ma iphone na hawakuripoti popote kama vipi pita kule
 

Ina tegemea na uwezo wa hiyo simu yako,kwani kuna application kibao kwenye net kama netquin,mi ndio naitumia na mwezi wa 5 niliibiwa simu yangu ya laki 700,hapa dar,maeneo ya mbagara,baada ya cku 6,niliikamatia tegeta!kweli wazungu noma!hadi sasa ndio ninai2mia,jaribu kwenda kwenye net utazipata tu.
 

mkuu simu yako ya bei gani?!!
Laki 700 duh!mijitu ya jf kupenda misifa utakuta una ka tecno 340 unataka kuchekesha watu
 

Just download mobile tracker
 
kuna app inaitwa avast-ant-theft app idownload thn install thn itafanya kma ulivotaka
 
laki 700 yaani hiyo cm yako ni ya milioni 70 daah!!cm yako ni kiboko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…