Wizi wa Salio mtandao wa Voda

Wizi wa Salio mtandao wa Voda

Kabla hujaweka vocha kwenye simu hakikisha ume switch off mobile data connection halafu ingiza salio lako, nunua bundles, ndipo switch on mobile data connection. Usipofanya hivyo kama data connection ipo on ukiweka tu vocha, umeliwa ninamaana data znaanza kutumika.
 
Mimi huwa natumia najiunga kwa wiki lakini Lila mala kama kuna salio kwenye cm linakombwa, Huu ni zaidi ya uporaji
 
Kabla hujaweka vocha kwenye simu hakikisha ume switch off mobile data connection halafu ingiza salio lako, nunua bundles, ndipo switch on mobile data connection. Usipofanya hivyo kama data connection ipo on ukiweka tu vocha, umeliwa ninamaana data znaanza kutumika.

mkuu nokia ya tochi ina data connection pia? maana hiyu mwenzangu anatumia hiyo. afterall wanakata the same amount 100!
 
Vumilia mkuu, Mimi juzi nimeweka 25,000/= nijiunge kifurushi cha data cha mwezi nikaambiwa salio halitoshi, kucheki salio limebaki 24,900/= so ikanibidi niongeze jero ili kujiunga. Ikabaki 400/= nayo baada ya siku tatu nikakuta wamelamba yote japokuwa sikuitumia kwa namna yoyote hata kupiga simu ama kutuma text.

Nashindwa kuelewa hizi mia mia wanakata za nini! Huu ni ufisadi mkubwa sana zaidi hata ya escrow.
Kuna mi sms kibaaao ya kijingajinga wanakutumiaga na kupiga mpunga juu kwa juu yani wizi unaofanyika na hawa providers ni wa kutisha ila ndo hivyo tena mtetezi atatoka wapi wakati ni msimu wa nchi kuvunwa
 
Sasa wanaanzaje kunitumia sms ambazo sijajiunga kutumiwa? Mimi simu zangu huwa sijiungi na sms zozote wala caller tune. Jamaa ni wezi tu by nature.
 
Sasa wanaanzaje kunitumia sms ambazo sijajiunga kutumiwa? Mimi simu zangu huwa sijiungi na sms zozote wala caller tune. Jamaa ni wezi tu by nature.

Hakuna cha kujiunga wala nini wewe unatumiwa tuuu upende usipende; mimi natumiwa hata post ninazoweka mwenyewe hapa jf na kupigwa mpunga wa nguvu yani wenyewe wanaiba na pia wametengeneza mtandao mpana wa washiriki wa huo wizi huku wao wakilamba percent
 
hii ishu ni kweli, nimeshuhudia na kusikia kwa watu kadhaa.
 
kuna wakati huwa wananitumia msg "eti" nimekatwa shilingi mia.kwa ajili nimetumia huduma ya vicemail, sasa mi huwa nashangaa hiyo huduma nimeitumia saangap, wanaeza wakakaa baada ya wiki tena wanatuma

huu wizi huwa naushangaa sana, nasubir siku ntawanywea "viroba" vitatu niwafate pale makaomakuu nikawavuruge
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom