Huo ujumbe nimeupata sasa hivi walivyo wajinga madai ya nimeshinda alafu namba waliyonitumia ujumbe wa zawadi wametumia voda kutuma zawadi ya Tigo pesa[emoji23] [emoji23] [emoji23] hii kali kweli, naona vyuma vimekaza Mr Shija poleeeee......
Alitaka akutumie hiyo sms kwa namba yake ya Tigo lkn haina salio, akaona siyo mbaya akutumie pesa kwa namba ya voda afu akupe namba yake ya Tigo umpigie ww km una salio