Kuna uwezekano wa muosha gari wake kumfanyika uhuni. Unapoosha gari usimkabidhi muoshaji funguo, wanaikandamiza kwenye mche wa sabuni na kupata mould ya kuchongea duplicate. Kila ukipeleka kuosha anajaribu kama funguo aliyochonga inafanya kazi. Then anaenda kuirekebisha, mpaka ikiwa OK then wanaanza kukufuatilia mienendo yako.
Never handle your car key to anyone regardless what. Ukitaka kuosha ndani chukua muda, mfungulie na wewe ukiwa hapo hapo akimaliza funga ondoka na funguo yako.