F fisadimpya Senior Member Joined Oct 27, 2011 Posts 191 Reaction score 103 Mar 8, 2012 #1 Kama unataka kupima kiasi cha bandle uliyonunua unatumia yote, download software ya kupimia airtel tigo wanapiga panga mbaya, download broadband monitor.
Kama unataka kupima kiasi cha bandle uliyonunua unatumia yote, download software ya kupimia airtel tigo wanapiga panga mbaya, download broadband monitor.
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,254 Reaction score 44,363 Mar 8, 2012 #2 fisadimpya said: kama unataka kupima kiasi cha bandle uliyonunua unatumia yote download software ya kupimia airtel tigo wanapiga panga mbaya,download broadband monitor Click to expand... usisahau kujumlisha na uploads. Maana hizo mb za bunndle zinatumika kudownload na ku upload
fisadimpya said: kama unataka kupima kiasi cha bandle uliyonunua unatumia yote download software ya kupimia airtel tigo wanapiga panga mbaya,download broadband monitor Click to expand... usisahau kujumlisha na uploads. Maana hizo mb za bunndle zinatumika kudownload na ku upload
Kalunguine JF-Expert Member Joined Jul 27, 2010 Posts 2,543 Reaction score 134 Mar 8, 2012 #3 chief-mkwawa said: usisahau kujumlisha na uploads. Maana hizo mb za bunndle zinatumika kudownload na ku upload Click to expand... it is very true chief mara nyingi tumekuwa tukisahau kuwa huwa kuna uploads na hivyo huwa tunabase sana kwenye downloads.
chief-mkwawa said: usisahau kujumlisha na uploads. Maana hizo mb za bunndle zinatumika kudownload na ku upload Click to expand... it is very true chief mara nyingi tumekuwa tukisahau kuwa huwa kuna uploads na hivyo huwa tunabase sana kwenye downloads.