DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,476
hahaha..mkuu uneacha mzigo wako "" hutaki kuingia gharama za kiboya ..."" waweza kukuta mzigo uliotumiwa " thamani Yke ni ndogo kuliko Pesa ambayo Posta wanataka kukutoza ...""Hivi posta ukitumiwa mzigo nani analipia, wewe ulietumiwa au aliekutumia?
Juzi hapa kaja messanger wa ofisi yetu ananipa kikaratasi kua niende mwenyewe kuchukua mzigo wangu.
Nilivyoenda posta wakaniambia inabidi nilipie, hata sikujua nani kanitumia mzigo maana ningejua kabla nisingeenda.
Baada ya kufika nikajua mzigo ulipotoka alafu naambiwa nilipie nikatokomea jumla.
Swali langu, ukitumiwa mzigo nani anatakiwa kulipia gharama za mzigo?
Ni kweli ulichokisema but ungepunguza ukali wa manenoo mkuu...Ni vitu gani hasa hadi utume na mavikapu marekani? Ingekua bahasha ya document muhimu kama vyeti ingekua sawa lakini wewe ni mavikapu. Nyie mnaona sifa kuwatumia ndugu sijui matunda na n.k marekani, mnakosea sana kwa kudhani kule hamna. Acheni kuwasumbua watu. Ndugu anasita kukuambia usitumie kwa kuogopa utamchukuliaje lakini ungejua moyoni kwake tuu usingejaribu kujipendekeza. Kila kitu cha kula unachokiona hapa bongo marekani kipo tena zaidi ya hapa na nzuri zaidi kwa mfano samaki sato wale wa daraja la kwanza wote wanasafirishwa kwenda ula as well as kahawa na vinginevyo. Kujipendekeza sio kuzuri
Ni vitu gani hasa hadi utume na mavikapu marekani? Ingekua bahasha ya document muhimu kama vyeti ingekua sawa lakini wewe ni mavikapu. Nyie mnaona sifa kuwatumia ndugu sijui matunda na n.k marekani, mnakosea sana kwa kudhani kule hamna. Acheni kuwasumbua watu. Ndugu anasita kukuambia usitumie kwa kuogopa utamchukuliaje lakini ungejua moyoni kwake tuu usingejaribu kujipendekeza. Kila kitu cha kula unachokiona hapa bongo marekani kipo tena zaidi ya hapa na nzuri zaidi kwa mfano samaki sato wale wa daraja la kwanza wote wanasafirishwa kwenda ula as well as kahawa na vinginevyo. Kujipendekeza sio kuzuri
Kama umesoma na kuelewa bila shaka utagundua kuwa mwanzisha thread huwa ana tabia ya kutuma vikapu kwa wingi Marekani (labda ni biashara). Ndiyo maana anataja mambo ya ''siku za nyuma kutuma box moja'' na ''gharama ya usafiri''.Ni vitu gani hasa hadi utume na mavikapu marekani? Ingekua bahasha ya document muhimu kama vyeti ingekua sawa lakini wewe ni mavikapu. Nyie mnaona sifa kuwatumia ndugu sijui matunda na n.k marekani, mnakosea sana kwa kudhani kule hamna. Acheni kuwasumbua watu. Ndugu anasita kukuambia usitumie kwa kuogopa utamchukuliaje lakini ungejua moyoni kwake tuu usingejaribu kujipendekeza. Kila kitu cha kula unachokiona hapa bongo marekani kipo tena zaidi ya hapa na nzuri zaidi kwa mfano samaki sato wale wa daraja la kwanza wote wanasafirishwa kwenda ula as well as kahawa na vinginevyo. Kujipendekeza sio kuzuri
Ni vitu gani hasa hadi utume na mavikapu marekani? Ingekua bahasha ya document muhimu kama vyeti ingekua sawa lakini wewe ni mavikapu. Nyie mnaona sifa kuwatumia ndugu sijui matunda na n.k marekani, mnakosea sana kwa kudhani kule hamna. Acheni kuwasumbua watu. Ndugu anasita kukuambia usitumie kwa kuogopa utamchukuliaje lakini ungejua moyoni kwake tuu usingejaribu kujipendekeza. Kila kitu cha kula unachokiona hapa bongo marekani kipo tena zaidi ya hapa na nzuri zaidi kwa mfano samaki sato wale wa daraja la kwanza wote wanasafirishwa kwenda ula as well as kahawa na vinginevyo. Kujipendekeza sio kuzuri
Hiyo biashara inayobadilika transport fee kuanzia 40000 hadi 600000 sijawaona. May be alikua anatuma miaka ya 47 akastop now amerudi tenaKama umesoma na kuelewa bila shaka utagundua kuwa mwanzisha thread huwa ana tabia ya kutuma vikapu kwa wingi Marekani (labda ni biashara). Ndiyo maana anataja mambo ya ''siku za nyuma kutuma box moja'' na ''gharama ya usafiri''.
Ndiyo usome thread yake sasa uone! Na hilo ndilo chimbuko hasa la kuanzisha thread. Ila kwa mtu anayeijua nchi yetu hili wala siyo jambo la kushangaza!Hiyo biashara inayobadilika transport fee kuanzia 40000 hadi 600000 sijawaona. May be alikua anatuma miaka ya 47 akastop now amerudi tena
Ni vitu gani hasa hadi utume na mavikapu marekani? Ingekua bahasha ya document muhimu kama vyeti ingekua sawa lakini wewe ni mavikapu. Nyie mnaona sifa kuwatumia ndugu sijui matunda na n.k marekani, mnakosea sana kwa kudhani kule hamna. Acheni kuwasumbua watu. Ndugu anasita kukuambia usitumie kwa kuogopa utamchukuliaje lakini ungejua moyoni kwake tuu usingejaribu kujipendekeza. Kila kitu cha kula unachokiona hapa bongo marekani kipo tena zaidi ya hapa na nzuri zaidi kwa mfano samaki sato wale wa daraja la kwanza wote wanasafirishwa kwenda ula as well as kahawa na vinginevyo. Kujipendekeza sio kuzuri
Kama umesoma na kuelewa bila shaka utagundua kuwa mwanzisha thread huwa ana tabia ya kutuma vikapu kwa wingi Marekani (labda ni biashara). Ndiyo maana anataja mambo ya ''siku za nyuma kutuma box moja'' na ''gharama ya usafiri''.
Ni kweli ulichokisema but ungepunguza ukali wa manenoo mkuu...
Ni vitu gani hasa hadi utume na mavikapu marekani? Ingekua bahasha ya document muhimu kama vyeti ingekua sawa lakini wewe ni mavikapu. Nyie mnaona sifa kuwatumia ndugu sijui matunda na n.k marekani, mnakosea sana kwa kudhani kule hamna. Acheni kuwasumbua watu. Ndugu anasita kukuambia usitumie kwa kuogopa utamchukuliaje lakini ungejua moyoni kwake tuu usingejaribu kujipendekeza. Kila kitu cha kula unachokiona hapa bongo marekani kipo tena zaidi ya hapa na nzuri zaidi kwa mfano samaki sato wale wa daraja la kwanza wote wanasafirishwa kwenda ula as well as kahawa na vinginevyo. Kujipendekeza sio kuzuri
Labda milioni kwa kikapu na bado ni hasaraUngeuliza kwanza, kuna watu wanasuka vikapu na kuvituma kwaajili ya kuviuza kule, sasa kama unaambiwa ulipe laki sita yeye kule ataviuza kwa bei gani mpaka vinunulike?
na ukikuta ni kubwa???hahaha..mkuu uneacha mzigo wako "" hutaki kuingia gharama za kiboya ..."" waweza kukuta mzigo uliotumiwa " thamani Yke ni ndogo kuliko Pesa ambayo Posta wanataka kukutoza ...""
ina wezekana mwenzio ana fanya biashara ameona kuna soko zuri... sio kila mtu ana tuma mzigo kwa ndugu...Ni vitu gani hasa hadi utume na mavikapu marekani? Ingekua bahasha ya document muhimu kama vyeti ingekua sawa lakini wewe ni mavikapu. Nyie mnaona sifa kuwatumia ndugu sijui matunda na n.k marekani, mnakosea sana kwa kudhani kule hamna. Acheni kuwasumbua watu. Ndugu anasita kukuambia usitumie kwa kuogopa utamchukuliaje lakini ungejua moyoni kwake tuu usingejaribu kujipendekeza. Kila kitu cha kula unachokiona hapa bongo marekani kipo tena zaidi ya hapa na nzuri zaidi kwa mfano samaki sato wale wa daraja la kwanza wote wanasafirishwa kwenda ula as well as kahawa na vinginevyo. Kujipendekeza sio kuzuri