Wizi umetokea benki kuu

Ee bwanae, nilifikiri wizi umetokea kweli Benki Kuu, kumbe ni hadithi tu! Thread nyingine bwana!

Hata mimi nikafikiri kuna EPA nyingine imepigwa.

Angalizo la "Hadithi" lingesaidia.
 
tehe..tehe... sasa ngoja waibe 120m wiki hii lazima utaisaidia polisi
 
imetulia na inaelimisha, ila kichwa cha habari ungekifanyia marekebisho kiendane na kilichoandikwa ndani vinginevyo hii ihamishiwe jukwaa la chit chat

CC Invisible
 
Kiukweli hii alioisema ni ukweli mtupu wati if majambaz nao wangekuwa wanatangaza wameipa kias gan kwakweli ukweli ungejulikana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…