Wizi "teller counters" za uchumi - quality center

You are an imbecile. Njaa zenu tu hizo ndo maana mnalilia vichenji vya nauli za daladala.

Imbecile indeed that bitch who got you into her womb through her behind.

Ukiambiwaga uhalisia wa maisha yako ya huko unaanza matusi...

Hao wazungu wanaachaga chenji?

Acha dharau inayo kudhalilisha

Easymutant mpenda ligi bila shaka bado "unafollow"! Bingwa bado yupo ulingoni anazichapa. Mpambanaji kweli jamaa yako. Mi nimejiweka pembeni naepusha msongamano wa matusi.
 

Ukiniweka kwenye ignore list itanipunguzia nini?

You are not my breadwinner at all!!

Ha ha ha eti najipendekeza kwa lipi? Kwa kipi?

Sikufwatilii wala sijigongi nakupa ukweli wewe siku zote unatoa negative attitudes kwa wenzio...

Unadhani wewe ni wakwanza kufika mbele mpaka uwaambie wenzio wanaumaskini wa kung'ang'ania vichenji vya daladala kana kwamba huko majuu watu hawadai chenji?

Huwa mnajiona wa maana kuliko wenzenu ilhali hamko hivyo ati uniweke kwa ignore list nitakosa kula? Au woga wa kukimbia ukweli?

Hata uishi huko miaka elf na kujikoboa rangi utabaki kuwa mwafrika tu acheni kujifanya mnajua kila kitu..
 
Easymutant mpenda ligi bila shaka bado "unafollow"! Bingwa bado yupo ulingoni anazichapa. Mpambanaji kweli jamaa yako. Mi nimejiweka pembeni naepusha msongamano wa matusi.


Mkuu hakuna watu wanaojua kudai haki yao kama wazungu...

Yupo radhi afuatilie hata shilingi hamsini yake ni watu wasiopenda wizi hata kidogo nashangaa huyo mzungu mweusi anavyowatukana wenzie eti masikini wanatafuta nauli za daladala ilhali mzungu haachi hata chenji ya shilingi kumi dukani...

Tumetembea nchi nyingi tunajua maisha ya huko wasijifanye wajuaji kumbe malofa tu....
 
Usemi wa kiSwahili, "Asifuye mvua imemnyea". Huenda anayemponda mleta mada hiyo ni kazi yake na anashiriki huo "wizi" wa "chenji" za wateja, na anayelalamika ni mhanga wa "wizi" huo na sasa kachoka.
 
Mbona hata uchumi ya Segerea ujinga ni huohuo! Leo nimecha mia Tatu pale. Yaani mpaka anafunga siku sijui anakuwa amekusanya ngapi!
njooni mlimani city hakuna hiyo mambo mbaya mbaya.
 
si upo uchumi pugu road?
 
usimwogope anaishi mabwepande namfahamu.
 
usimwogope anaishi mabwepande namfahamu.

Nimwogope mbeba box huyo kwa lipi?

Anahamishia hasira za box kwa wengine kwakujifanya mjuaji....

Hawaoni aibu kwa kudanganya watu humu
 

Mkuu achana na huyo ----, atakusababishia bifu ya bure na mods.
 
njooni mlimani city hakuna hiyo mambo mbaya mbaya.

Nakubaliana na wewe. M/City huo ujinga hawana. Si hao tu hata Shoppers Plaza na super markets kibao hawana ushamba tunaookuta halo Uchumi.
 
Mkuu achana na huyo ----, atakusababishia bifu ya bure na mods.

Mi simfwati huyo maskini naweka mambo wazi ili umma ujue na hilo ni tatizo la diaspora wengi kujifanya wajuaji kumbe wajinga tu...

Halafu anatishia eti kuniweka kwa ignore list hebu ona alivyo na low thinking capacity kwa mtu usiye na msaada wowote kwake unaweza kumtishia Ku mu ignore?

Box limewachanganya wanaleta hasira kwa wengine ...

Siku nyingine wakiwasumbua wa aina hiyo mtuite tuwashikishe adabu...

Mnfssssss!!
 

Afu kesho utamsikia mbeba box kanaswa na unga China. Umaskini unamsumbua huyo, anadhani kwa kujinadi nadi kwenye mitandao atapata umaarufu for self consolation. Limbukeni tu huyo hana lolote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…