Mzee_londo
Member
- Dec 5, 2018
- 46
- 99
Kuna connection. Polisi kuna vitu wanafaidi.Vipi siku ukija kuamini kuwa mapolisi wa jirani ya Hilo eneo ndiyo wanahusika na uhalifu?
Hahaha na daraja la mlalakuwa paleUnasema hapo salenda wakata hapa lugalo jeshini mida ya usiku kuna kuwa na wezi balaa kwenye hichi kifoleni cha njia ya kwenda kawe na tegeta usipofunga kioo umekwisha
Hahaha na daraja la mlalakuwa pale
Hapafai
Ova
Kweli kabisaUnasema hapo salenda wakata hapa lugalo jeshini mida ya usiku kuna kuwa na wezi balaa kwenye hichi kifoleni cha njia ya kwenda kawe na tegeta usipofunga kioo umekwisha